Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Wanasemaga mwizi aibi asipo pajua au ambapo hajasoma rada ipasavyo.
Mie zangu zimekuwa laini sijui na haya majeli?? Zinakatika hovyo, sahivi zipo za kiuanafunzi
Hata nguvu ya kuziphotoa sina





Ninazo nyingi ... kwa heshima ma mchungaji nitampa achague anayotakaIle inavyokukaa fresh boss ledi
Dah huyu HS mtafutie tu nyingine.
Ukivaa ile unakuwa kama mkurugenzi wa World Bank
ItakubidiNajuta. Sijui kwa nini nimezeeka![]()


Abiud Misholi akiona hii anakutungia wimbo wa kukusema aisee...



Huyo ni Anne lakini; anatusimanga watoto wa Zumaridi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yote kheri






Na utanambia unakolivaliagaDah
Gauni kama langu![]()
Waauweeeeehhhhhhhh









Umenouga hatariMimi kile kidole cha Pete kina ukucha mpana kama bakuli la mboga.






Kelele moja kwa boss lady akeeeeeNinazo nyingi ... kwa heshima ma mchungaji nitampa achague anayotaka
haha! mulangira jina kubwaa sana umenipa.. ila acha niseme asanteee 😀😀😀😀😀.. majukumu ya leo mazuri ni kheri kupotea mapema plus weekendUnakwenda majukumuni ama? Mbona bado mapema mulangira?
Chawa tuliaaaaaIle inavyokukaa fresh boss ledi
Dah huyu HS mtafutie tu nyingine.
Ukivaa ile unakuwa kama mkurugenzi wa World Bank
Hilo ni swalimalampaka high school yes napafahamu.
Muda wa kuvaa unaupata wapi?

Mrs AbiudDepalSaint Annekwa mbele hapo kiasi FulaniView attachment 2160748View attachment 2160749View attachment 2160750





Uongo..hebu thibitisha tuone kama nawewe unaloDah
Gauni kama langu![]()