Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,555
OkayHapa sasa nimeuelewa![]()


Ngoja nikupe nyingine km utapenda style ila ni kwa juu tu! Chini vyovyote utakavyoona ww
View attachment 2160804View attachment 2160806
OkayHapa sasa nimeuelewa![]()


TunakupendaJamaniiii![]()
Nipo hapa nawaza hio shingo nyembamba ndefu ninanvyoweza kuipaka asali na kuilamba kama aichikirimu.
Yaani hadi tunaunganisha miguu mitatu bado hatukufikii pisi ya kimataifa boss lediHahahaaaaa!! Nakusalimia katika jina la Selfika msukuma![]()
Salamu zimefika Bosi Ledi. Nipo hapa kwa dakika tano tu. Kama kuna lo lote unaweza fanya basi naomba usifanye sasa. Naumia nikikuta ombwe tu ushafuta. Uumbaji maridadi wa Mola wetuHahahaaaaa!! Nakusalimia katika jina la Selfika msukuma![]()


Yaani hadi tunaunganisha miguu mitatu bado hatukufikii pisi ya kimataifa boss ledi
Jmn zinatosha nishapigwa biti hapaTunakupenda
Tunaomba uselfike tena wifi yetu mzuri


Daahbora mambo vp...kuliko kidume kinakutext 'mambo'...aarghghg![]()


Hahahaaa....Anne ameshawaambukiza upambe msukuma!🙆Salamu zimefika Bosi Ledi. Nipo hapa kwa dakika tano tu. Kama kuna lo lote unaweza fanya basi naomba usifanye sasa. Naumia nikikuta ombwe tu ushafuta. Uumbaji maridadi wa Mola wetu![]()
Bosi ledi hana mpinzani. Mnakufuru mnapojaribu kujilinganisha naye. Au nasema uwongo ndugu zangu?Yaani hadi tunaunganisha miguu mitatu bado hatukufikii pisi ya kimataifa boss ledi

Miguu yangu ndo imeharibu kila kituAnne hizo fujo ujue!


Siyo upambe Boss Lady. Mama wa watoto wawili kuwa na umbo mkatiko kama lako ni muujiza mkubwa sanaHahahaaa....Anne ameshawaambukiza upambe msukuma!![]()
Thank u dearLooking good![]()
Ni dharau za wazi kabisa mtu yeyote kuunganisha vijiguu vyake eti amfikie boss ledi.Bosi ledi hana mpinzani. Mnakufuru mnapojaribu kujilinganisha naye. Au nasema uwongo ndugu zangu?![]()
Uzi huu umejaa Wanyaki kibao. Muorodhoshee wote mawifi na mashemeji awajue kabisa asubuhi na mapemaTumogheleee
Kumbe kaka yetu ameopoa chombo
Wifi tutakuwa tunakusalimia kutwa mara 6.
Una wifi mwingine ambaye ni Heaven Sent



Una kiuno cha nyigu hata changu hakioni ndani.Hahahaaa....Anne ameshawaambukiza upambe msukuma!![]()


Nimekabidhi Mic kwa msemaji wa ukoo HSUzi huu umejaa Wanyaki kibao. Muorodhoshee wote mawifi na mashemeji awajue kabisa![]()
Nani huyo tena jamani?Jmn zinatosha nishapigwa biti hapa
Nawapenda pia