Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

LMC_19032022_162654.HDR-NET LMC 8.2 R7.jpg
 
Jioni Usisahau kuniamsha nikapunguze hiki kitambi kwanza!
Jinsi ya kutengeneza detox ya kijani! .
GREEN DETOX

MAHITAJI
TANGO1
APPLE LA KIJANI 1
MINT LEAVES(MAJANI YA MNAANAA) Fungu moja (vimatawi 10)
Limao 1
Chia seed kijiko 1 cha chakula
Maji litre moja vuguvugu
Tangawizi Mbichi kijiko 1 . .
Saga vyte isipokuwa limao (unakamulia kwa juu) .
.
Kunywa ahsubuh kabla ya kula chochote! Au unawez kunywa kdgo kdgo siku nzima lakn ahsubuh lazma unywe ikiwa vuguvugu pia kwa wanaopunguza tumbo pekee bila mwili wanaweza kutumia .
.
.By Judith
.
.
Nb
Usichuje

Nimeona nishare na wewe hapa .
 
Jinsi ya kutengeneza detox ya kijani! .
. GREEN DETOX

MAHITAJI
TANGO1
APPLE LA KIJANI 1
MINT LEAVES(MAJN Y MNAANAA) Fungu moja (vimatawi 10)
Limao 1
Chia seed kijiko 1 cha chakula
Maji litre moja vuguvugu
Tangawizi Mbichi kijiko 1 . .
Saga vyte isipokuwa limao (unakamulia kwa juu) .
.
Kunywa ahsubuh kabla ya kula chochote! Au unawez kunywa kdgo kdgo siku nzima lakn ahsubuh lazma unywe ikiwa vuguvugu pia kwa wanaopunguza tumbo pekee bila mwili wanaweza kutumia .
.
.By Judith
.
.
Nb
Usichuje

Nimeona nishare na wewe hapa .
Aah ya kupunguza tumbo tu?
 
Back
Top Bottom