Mie pia huwa nasikia hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa... ubabe wawapi?? mbona nasikia wakipenda wanapenda kweli kweli eti!!!!![emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sikuwezi yaan.Sasa je
Nakufaje na njaa na hela za wazi zipo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbna km n yeye huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli dadaHuyo ni pacha wangu na Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaona mambo ya rangi sasa mdogo angu? Nyie hakuna rangi mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vyovyote iwavyo orange siwezi kuvaaKweli dada
nimeamini kila rangi ni nzuri sema hatujazizoea ndo shida hapo [emoji28] .
Hivi ni nani aliyekufundisha ubishi huu jamani? Nenda google basiHapana hii ni nyekundu
Orange nayoisema mm ngoja nitafute picha uone
Ukivalia kama tshirt je ?Kwa vyovyote iwavyo orange siwezi kuvaa
Sasa nagugo nini hapo [emoji1787][emoji1787]Hivi ni nani aliyekufundisha ubishi huu jamani? Nenda google basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende zetu Mtwara kule zinatosha na kubakiInabidi niongee na washkaji zangu wa UKOD waniambie kama tu'million 200 tunatosha kuanzia au nijiendee zangu vacation kuzitumbua.😄😄
Sasa mm nilikuwa navaa tsheti hilo liorangeUkivalia kama tshirt je ?
HS ananitoa ushamba hapa [emoji1787] kuna rangi nilikuwa sizielewi .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wale jamaa walikuwa wanajisikia balaa haswa ukishindwa kutegua basi anaringa kweli kweli eti umchagulie mji wa kwenda, hivi wako wapi?
Yesu na Maria, huijui DSM 🙆Daslama ndio wapi tena jamani
Nipo green city
Waje niwachagulie daslama wakapambane na fukuto la joto bila helaKuna wale jamaa walikuwa wanajisikia balaa haswa ukishindwa kutegua basi anaringa kweli kweli eti umchagulie mji wa kwenda, hivi wako wapi?
DSM??Yesu na Maria, huijui DSM [emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]utakua km chungwaaIsiwe tu Orange haki ya nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora sasa niwe chungwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]utakua km chungwaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Suala la kuwasha data si jukumu lako.Awapi kijeba tu mie ..hamu zenyewe zishakata kitambo!