Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ukivalia kwa juu inapendeza sana tu ..Sasa mm nilikuwa navaa tsheti hilo liorange
Yaani!
Ukivalia kwa juu inapendeza sana tu ..Sasa mm nilikuwa navaa tsheti hilo liorange
Yaani!
Mzee babaDating huwa ina utamu wake, haswa pale for the first time mnatoka maeneo fulani mnakula, mnakunywa, mnazungumza halafu kuna ile kuona aibu kimtindo haswa wanawake wakati wa kula, kila mmoja huwa anajitahidi kuonekana yupo perfect kuanzia muonekano, unywaji, ulaji hadi kuongea.
Halafu unakuwa makini haswa mwanamke akiwa anatoka anaaga anakwenda bathroom hasa kama mmekula 2,3, unakuwa unaangalia mkia kwa makini sana, sasa sipati picha wezere ya mahondaw itakavyofanya mtu aweweseke.
Beleive it or not dating huwa ni moment moja amazing sana hasa ukibahatika kupata pisi haswaa yenye hadhi inayojielewa, siku ya mechi mashuka huwa yanachanika.
Dating ni kama kichochezi flani, inaongeza ile hamu ya kutaka kujua yaliyomo yamoooo!!
Cause wote huwa mnavutia kuanzia marashi mpaka mavazi hivyo kufanya kila mmoja awe na hamu na mwenzie.

Sasa hivi ningewachagulia Ukraine.Waje niwachagulie daslama wakapambane na fukuto la joto bila hela
Suala la kuwasha data si jukumu lako.
Kuna wale jamaa walikuwa wanajisikia balaa haswa ukishindwa kutegua basi anaringa kweli kweli eti umchagulie mji wa kwenda, hivi wako wapi?

Mdanganye tu mwenzio...Mzee baba
Komaa
Ongeza chambo kwa ndoano
Atanasa tu
Acha dhambiKuwasha data kama data!!!
Mkuu sitaki kurudi misri mie !![]()

Mdanganye tu mwenzio...
misri nishatoka mie Anne sirudiko ng'o!![]()

Mtoto mjanja sana huyu, halafu anajua mbinu zote.Mzee baba
Komaa
Ongeza chambo kwa ndoano
Atanasa tu
iAcha dhambi
Uokoke![]()
BofloMtoto mjanja sana huyu, halafu anajua mbinu zote.
Mashambulizi ndio yanaanza, ikishindikana sina budi kutumia nyuklia kama ni WW3 sawa..
Achana na huyo mndaliUkivalia kama tshirt je ?
HS ananitoa ushamba hapakuna rangi nilikuwa sizielewi .
Dah!.. Red ilikuwa unatumia kujisahihishia.. teacher akiwa hayupo makini imekula kwake



kabisa mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! WW3 si tayari ujue hio Itakua WW4!Mtoto mjanja sana huyu, halafu anajua mbinu zote.
Mashambulizi ndio yanaanza, ikishindikana sina budi kutumia nyuklia kama ni WW3 sawa..
🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️ 🚶🏽♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Enhee nipe story.
I wish ningekuwa mbishi kama yule ndugu yako hadi uka-surrender. Na ninakuagiza kitambaa, niletee red yako sasaSasa nagugo nini hapo
Hiyo ni nyekundu tumefunga mjadala
Kama hutaki nenda kanisemelee na hakuna kitu mtanifanya
Ukishikwa!! WW3 si tayari ujue hio Itakua WW4!
Nimeshasalute mjuemie siwawezi !!! Acha nipambane na bosi wangu huku mtaani tu!! Bosi asiekuwa na makuu Wala mambo mengi...!
![]()


Hureeeeeey.Orange is the New Black
![]()
NikuueSasa je
Nakufaje na njaa na hela za wazi zipo