Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Duuuh! Unabagua mtu sababu ya elimu yake! Hawa viumbe tumepewa tuwaongoze hata awe na degree 10 mkuu, unafeli wapi
Mkuu katika umri huu wa kula dawa za presha purukushani na gradyueti nitaziweza wapi? Waongozeni huko hao wenye digrii mkuu. Hata mimi ujanani niliwaongoza tena mpaka wenye Ph.D...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Napenda kuendeshwa[emoji4]sana afu Mimi niwe nampisha story dereva tufike sehemu tupaki,tuongee tu then tuanze tena safari!napendaga sana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fanya haraka ujifunze kuendesha. Yaan mie huyu eti niwe kwenye ndinga nisiendeshe? Khaaah ntakua bored tyuuh, siwezi kuvumilia yaan khaaah
 
Kwasababu tunajali sana yale yanayoonekana kuliko yasiyoonekana. Pleasing/showing off to others badala ya Mwenyenzi Mungu mwenyewe.
Mwenyeji kwa hili andiko, naomba nikutoe out,
Umejua kukosha moyo wangu, hivi nikupe nn?
 
Back
Top Bottom