Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Jiongeze mzee tafuta katoto kabichi kakukupa dawa age ikiendaAgemate wangu kaoa kabinti kadogo keupe. Do you think what I am thinking?
Wanaume hatuzeeki![]()
View attachment 2158519


Jiongeze mzee tafuta katoto kabichi kakukupa dawa age ikiendaAgemate wangu kaoa kabinti kadogo keupe. Do you think what I am thinking?
Wanaume hatuzeeki![]()
View attachment 2158519


Hata mimi lakini si bora hata miguu mtu unavaa viatu mimi vya mikononi tu huwa natamani hata nivae gloves ila siweziTumsifu Bwana wa majeshi.
Mimi vya miguu hata kuviangalia naogopa.


Amechoka kuishiAgemate wangu kaoa kabinti kadogo keupe. Do you think what I am thinking?
Wanaume hatuzeeki![]()
View attachment 2158519
Nawaza kuwowa na mimiUnawaza nini?
Hako kabinti keupe, hauna picha yake?



Haiwezekani. Nipe invitation Mkuu.Misheni hapa Misungwi mulangira. Mikoani huko mnasemaje?
Hata mimi lakini si bora hata miguu mtu unavaa viatu mimi vya mikononi tu huwa natamani hata nivae gloves ila siwezi![]()

JizaziNimekuzidi![]()
Naanza kukutaftia ka- graduate kamojaNawaza kuwowa na mimi
Picha ya kabinti keupe ngoja tusubiri siku ya harusi hiyo Machi 24...
Labda unakuwa haujaamua tu kuviweka Ila ni vizuriNkamu huonagi picha zangu nyingi, vidole havionekani?
Ushauri bora kabisa huu tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Hata Abiudi Misholi hawezi kutoa ushauri bora kama huu...Nitauzingatia mkuu wanguJiongeze mzee tafuta katoto kabichi kakukupa dawa age ikienda![]()



Hakika, na ukijifanya mbishi hadi meza ya Bwana unazuiliwa kushiriki
Eeh mbona unawowa kabisa Mtumishi. Cha muhimu nanhii tu🏃🏃🏃🏃🏃Nawaza kuwowa na mimi
Picha ya kabinti keupe ngoja tusubiri siku ya harusi hiyo Machi 24...
Graduate hatutawezana. Mwisho fomu siksi na kawe 35 - 55 yrs. Sichagui kabila wala diniNaanza kukutaftia ka- graduate kamoja



Picha zangu nyingi mikono inatokea imepinda;Labda unakuwa haujaamua tu kuviweka Ila ni vizuri
Nanhii nini Mtumishi? Usiniharibie upako pulizi...Leo nimetakatifika sana na sitaki kabisa vya dunia hii nondo na kutu waharibupoEeh mbona unawowa kabisa Mtumishi. Cha muhimu nanhii tu![]()





Ni kweli tunajali hayo uliyosema ingawa swala la stara la uvaaji ni muhimu piaKwasababu tunajali sana yale yanayoonekana kuliko yasiyoonekana. Pleasing/showing off to others badala ya Mwenyenzi Mungu mwenyewe.
Nashukuru kwa kunitukana
Mbona vizuri
Au nina kengeza lililokolea sikuona vizuri?


Aah kikubwa uhai Mtumishi; umewaza nini?😛😛😛😛Nanhii nini Mtumishi? Usiniharibie upako pulizi...Leo nimetakatifika sana na sitaki kabisa vya dunia hii nondo na kutu waharibupo![]()
Nitakulipa 50,000 njoo unifanyie 🤪🤪Mie je?![]()