Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,319
Massage ni 70,000 mpaka 50,000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu tag location, kwan massage ni bei gan?
Leo nakunywa na marafiki hapa Samaki Samaki
Massage ni 70,000 mpaka 50,000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu tag location, kwan massage ni bei gan?
Dogo usinifanye mshamba ntakupigaSehemu gan mjini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sipajui shoo!!!Niko Dom Ila napajua Tango tu baasi !na daladala za kwetuNjoo Rose garden 🪴 [emoji23]
Mie je? [emoji23][emoji23][emoji23]Massage ni 70,000 mpaka 50,000
Leo nakunywa na marafiki hapa Samaki Samaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni jambo ya kushukuru maana wengine maombi yetu yangekuwa yanarudishwa kama yalivyoenda 😇🙏🏾🙏🏾Definitely He doesn't. Sema tu ni tamaduni za watu huku na huko...na common sense tu. Kwamba usivae mavazi ambayo yanaweza kumkwaza mwingine kwenye ibada yake...
Napenda kuendeshwa[emoji4]sana afu Mimi niwe nampisha story dereva tufike sehemu tupaki,tuongee tu then tuanze tena safari!napendaga sanaMagari ni burudani sana tena tosha.. ukiwa bored gari inatoa stress.. hasa kama chuma imetulia.. ukiingia tu road stress tupa kule [emoji2][emoji2][emoji91]
Kwasababu tunajali sana yale yanayoonekana kuliko yasiyoonekana. Pleasing/showing off to others badala ya Mwenyenzi Mungu mwenyewe.He/she doesn't care except Good heart.
Ila hizo mambo ya mavazi ya kuchanika sijui mapensi hutayaona yakivaliwa huku kwetu KKKT, Roman Catholic wala EAGT
Tupia hata vesti malaika wasije wakabaki kukuangalia badala ya kukusikiliza 😂😂Nipo nae hapa anasema hajali wala nini.. anapenda watu wenye moyo kama wako.. tena hapa mie nimevaaa kikoi tu kifua wazi 😎😎😎
Thank YouKwasababu tunajali sana yale yanayoonekana kuliko yasiyoonekana. Pleasing/showing off to others badala ya Mwenyenzi Mungu mwenyewe.
Ngoja nikusaidie kumpostiaHeaven Sent mama malezi hebu post vidole tyuuh [emoji7][emoji7][emoji7]
Teh dada wa mujiniiiiNgoja nikusaidie kumpostiaView attachment 2158509
Sipatii picha ukifuga hizi kucha[emoji91]Usizoee madole yangu tafwadhaliView attachment 2158508
Sipatii picha ukifuga hizi kucha[emoji91]
Una kucha zimekaa wima hadi raha.
Unazuiliwa getini au unapewa kitenge!![emoji2]He/she doesn't care except Good heart.
Ila hizo mambo ya mavazi ya kuchanika sijui mapensi hutayaona yakivaliwa huku kwetu KKKT, Roman Catholic wala EAGT
Kwahiyo wenye madole yetu hapa tusemeje sasa [emoji2297][emoji2297]Usizoee madole yangu tafwadhaliView attachment 2158508
Kwa hizihizi kucha ambazo zikikua ndio zinakuwa nzuri?[emoji23][emoji23][emoji23]Teh dada wa mujiniiii
Kivuruge wanguu nambie shooo!!nipo nilikua naandaa maakuli udugu wako!!Mimi naenda Ludewa hukoo kwa kina Del Filikunjombe maana ndo alikuaga mbunge wetuu!!!mahondaw shouzzzzzzzz ake, uko wapi jomoneeeee mwenzio nimekumiss had naumwaaaah. [emoji4][emoji4][emoji4]
Tinsley shost ake, wea ara yuu? Nimemiss lips na shingo, [emoji23][emoji23][emoji23] afu nimekumbka jana lol.
reymage mlongo uko wapi wee? Hebu nisindikize home bas, wee utaishia makambako pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic wozi hia, byeeeeeh, tumoru izi e dei olso. [emoji7][emoji7][emoji7]