Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Point 1 bado cc wee, yaan tupate sare au tufungwe, sasa hakna kitu km hicho,
Kheeeeh city hii tuchanganyikiwe kwa kipi sasa? Gari limewaka hivyoooh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Subiri,uone wolves anavyowatandika[emoji1787]
We huoni kama tumewafikia haraka sana...
Makali yenu yamepungua,wenzio wanakiri hili.. Kwanza wanaogopa[emoji23]
 
Subiri,uone wolves anavyowatandika[emoji1787]
We huoni kama tumewafikia haraka sana...
Makali yenu yamepungua,wenzio wanakiri hili.. Kwanza wanaogopa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiaje match zote zilizobaki ni kubonda mtu tyuuh, EPL hii hapa.
Tunanyanyua kwapa, hahahahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3590][emoji3590][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Aiseeeee

Nkamu, utadhani umeshushwa hivi toka mawinguni
Naomba umalizie kasura kule Kwa kasimu majaliwa

[emoji3590][emoji3059][emoji3059] Nkamu
Daah Unazingua ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiaje match zote zilizobaki ni kubonda mtu tyuuh, EPL hii hapa.
Tunanyanyua kwapa, hahahahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ajabu hata mechi zenyewe hufatilii unasema ni kubonda tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpira wa moto mdogo wangu,
Ulitazama mechi dhidi ya wolves unaweza kuzimia Kwa presha maboya wale wanavyojambisha uwanjani[emoji1787]
 
Back
Top Bottom