Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kuna muda nawatamani wanafanyabiashara, kuamka asubuhi uvivu jamani[emoji27][emoji27]
Afadhali…
Leo naona nitalipwa madeni yangu 🤸🏻‍♀️

Ka oficial dress kametulia

Kuajiriwa ni kugumu basi tu, tena uwe na kazi zile zinazotaka weekly, monthly na qouters report utaona maisha magumu 😂😂

Asbh uwaze kutoka kitandani mpk ujiandae ufike ofisini, ukifika unawaza breakfast na lunch time. Ukishashiba unawaza muda ufike uondoke 🤣🤣

Ikifika alhamis unashusha pumzi, at least week iko ukingoni.

Waliojiajiri nao wana malalamiko yao mengi sana , ni vile tu hatujawasikia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee babuuu wee yaan city hii iogope kukutan na gunners? Hauko serious.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwani hukuona Ile game yetu ya mwisho, bila Kubebwa na Ile Penalty ya Mbeleko, City alikuwa anakufa pale Emirates 💪
 
Thank you Nkamu….basi nipambane tu na kuajiriwa ingawa kuamka asubuhi daah huwa natamani kulia[emoji3][emoji3]
Kuna watu tunatafuta ajira na hatujapata..tunafanya hizo biashara unazosema na tunateseka usiku kucha kuzunguka kuuza barafu,,ukisema ujipe likizo ndio utashinda njaa hiyo siku.


Ukiwa nayo unamshukuru Mungu nkamu.
Mara ya 2 umeongea hili humu.
 
Unajua mechi zilizobaki?
Fixture umeiona ilivyokaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukutane mwisho wa msimu, tusianze mbwembwe nyingi, macho yatathibitisha.
Tusubiri kuona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom