Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂 watu wanajisahau sana

Bora hata wangepambana wakadraw, mgawane points.
Kuna timu hata mkitaka kubet mtu unaumiza kichwa umpe nani ushindi
Timu kama Chelsea,City matokeo yao huwa hayatabiriki..
Liver na Aseno mechi iko wazi kabisa mshindi anaonekana nani afu mtu eti anajitoa ufahamu anampa Asenali..

Watu wamekuwa huru sana aisee🤣,katiba mpya ni muhimu😂😂😂
 
Kuna timu hata mkitaka kubet mtu unaumiza kichwa umpe nani ushindi
Timu kama Chelsea,City matokeo yao huwa hayatabiriki..
Liver na Aseno mechi iko wazi kabisa mshindi anaonekana nani afu mtu eti anajitoa ufahamu anampa Asenali..

Watu wamekuwa huru sana aisee🤣,katiba mpya ni muhimu😂😂😂
Sijui nimtag 🤣🤣🤣🤣
 
Eti hii nchi Uhuru umezidi we dgo na wew ni comedian
😂😂😂
Eti naye huyu Babu anaongea hivi👇
Hawa man u ni wa kuongea haya kweli???
Kwa timu gani waliyonayo sasa??

Uhuru ukizidi duniani ni shida ..kila mtu anaongea lolote eti hadi man u🤣

IMG-20220317-WA0008.jpg
 
Naona Diego Jota ana kismart Cha kutufunga Arsenal mara Kwa mara, hata lile kombe la Fa alitufunga na kutolewa kwenye mashindano Kwa sababu yake.

All in all, nafarijika na improvement yetu nowadays. Tuna shambulia na kufanya trials za kufunga kila tupatapo nafasi sio kama zamani za kocha Emere.

Top 4 Mwaka huu tunaingia inyeshe mvua liwake Jua.

Gunners forever
watu pressure mnazifuata wenyewe kumbe, uwiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Performance yenu Jana ilikuwa nzuri..
Kuanzia possession of balls,mashambulizi
Kwa kweli mpo vizuri... mechi ya Jana haikuwa rahisi sana kwetu kwanza tulikuwa ugenini Emirates.

Ila asenali na nyie mkichezaga na timu ndogo mnakuwa mafundi kweli .
Timu kubwa zinawachakaza mnakuwa weupe kama karatasi.


ERoni nakusalimia.
Leo sikugusi.

Nawataka Hawa Wana Depal ,Fortnox na Wigelekelo waliojitolea kutusagia kunguni
Vipi Wasaga kunguni,kazi yenu imetick???
Ngapi huko

Biliiiii
Unaona sasa timu za wanaume tunashinda ugenini..
Nyie AM imewachakaza mubashara kabisa nje ndani mkiwa nyumbani..hakuna timu pale.

Na tunawasubiri anfield mwezi ujao tuwachinjie nje mazima

YNWAView attachment 2153551
mbavu cna hapa khaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Of course ni kama game ilikuwa 50/50 tu, ukiangalia shots on target 2/3 nyie 2 mbili mkazi convert kuwa magoli wakati sisi zimeokolewa. Lakini ukiangalia hata mashambulizi hatari tumefanya mengi 52 dhidi 38 yenu.

Kuna vitu vichache tunahitaji kuviboresha ila I can see bright future with this Arsenal
akaaah sitakiii.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom