Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ungeona gap la point lililokuwepo kabla na Sasa plus mpira mwingi tunaoupiga, hakika yajayo yanafurahisha.

Hizo timu zitasubiri sana nakwambia [emoji123]
51 kwa 69,
51 kwa 70,
Hebu cheki hapo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
51 kwa 69,
51 kwa 70,
Hebu cheki hapo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mwanzoni lilikuwa zaidi na mbaya zaidi tulikuwa tunapigwa na hadi timu za middle table, Sasa hivi hadi City mwenyewe anaogopa kukutana na Arsenal hii 💪
 
mahondaw shouzzzzzzzz ake, miss u moaaaah [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
Hebu selfika kwan bas jomoneeeeh, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja nikague kague gallery hapa kama nitapatamo kapicha
 
View attachment 2153684
View attachment 2153685
Hapo zamani za Kale tulipopata mtumbuizaji mwenye mashairi laini na Kiuno bila mfupa, homa zote za mafua zilikuwa zinakata Kila ukimtazama Kwa Luninga [emoji119]

Kweli wakati Ukuta, Ngoja niendelee kuvuta Kiko yangu hapa 🥱
Kuna siku nilikuwa namsikiliza
Nikajaribu kutengeneza picha,huyu dada Kwa hii sauti angekuwa anamuimbia Mungu huko kanisani.
 
Kwenye haya maisha, kama Wewe ni mrembo hakikisha Mwanaume wako ni Shabiki wa Arsenal.

Hatujisifii ila hakika sisi ni wavumilivu mno, kama tumeweza kushabikia timu miaka 16+ bila ubingwa wa epl ndiyo tushindwe kuvumilia mahusiano[emoji87][emoji23][emoji23]
Naunga mkono hoja,
Wanaume wanaoshabikia Asenali ni wavumilivu sana
Halafu hawana mdomo kama Hawa man UTD.
 
Back
Top Bottom