Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Performance yenu Jana ilikuwa nzuri..
Kuanzia possession of balls,mashambulizi
Kwa kweli mpo vizuri... mechi ya Jana haikuwa rahisi sana kwetu kwanza tulikuwa ugenini Emirates.

Ila asenali na nyie mkichezaga na timu ndogo mnakuwa mafundi kweli .
Timu kubwa zinawachakaza mnakuwa weupe kama karatasi.


ERoni nakusalimia.
Leo sikugusi.

Nawataka Hawa Wana Depal ,Fortnox na Wigelekelo waliojitolea kutusagia kunguni
Vipi Wasaga kunguni,kazi yenu imetick???
Ngapi huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji108]

Biliiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona sasa timu za wanaume tunashinda ugenini..
Nyie AM imewachakaza mubashara kabisa nje ndani mkiwa nyumbani..hakuna timu pale.

Na tunawasubiri anfield mwezi ujao tuwachinjie nje mazima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

YNWA[emoji91][emoji3590][emoji108]View attachment 2153551
Hii simu kuna mtu kakushikia

Haiwezekani uandike busara hivi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea wee una nn lakini? Kiuno changu kilivyo laini kuliko urojo wa zenji, kinavyozungka sasa km feni mbovu isiyo na break,

Kuna kiumbe fulan huwa anasema "tulia kwanza utaniangusha bas au twende slow slow" maan sio kwa mzunguko huo, hapo sasa tena kwa style, huku wimbo ukinogesha zaidi. Weuweeeeeeeeh.

Mnicheke kukata viuno jaman? Maisha enyewe haya yalivyo akuuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mngoni km mngonii!!!hunaga shoo mbovu

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
kuna muda nawatamani wanafanyabiashara, kuamka asubuhi uvivu jamani[emoji27][emoji27]
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3590][emoji3590][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Aiseeeee

Nkamu, utadhani umeshushwa hivi toka mawinguni
Naomba umalizie kasura kule Kwa kasimu majaliwa
 
Mwanzoni lilikuwa zaidi na mbaya zaidi tulikuwa tunapigwa na hadi timu za middle table, Sasa hivi hadi City mwenyewe anaogopa kukutana na Arsenal hii [emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee babuuu wee yaan city hii iogope kukutan na gunners? Hauko serious.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Gari Gani imewaka wakati mshachanganyikiwa tumeshawafikia[emoji1787]
Point 1 bado cc wee, yaan tupate sare au tufungwe, sasa hakna kitu km hicho,
Kheeeeh city hii tuchanganyikiwe kwa kipi sasa? Gari limewaka hivyoooh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti kigumu kuliko maisha yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ila Kuna watu nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom