Afadhali…
Leo naona nitalipwa madeni yangu [emoji2224]
Ka oficial dress kametulia
Kuajiriwa ni kugumu basi tu, tena uwe na kazi zile zinazotaka weekly, monthly na qouters report utaona maisha magumu [emoji23][emoji23]
Asbh uwaze kutoka kitandani mpk ujiandae ufike ofisini, ukifika unawaza breakfast na lunch time. Ukishashiba unawaza muda ufike uondoke [emoji1787][emoji1787]
Ikifika alhamis unashusha pumzi, at least week iko ukingoni.
Waliojiajiri nao wana malalamiko yao mengi sana , ni vile tu hatujawasikia.
Baki hukohuko nkamu 🤣🤣🤣Thank you Nkamu….basi nipambane tu na kuajiriwa ingawa kuamka asubuhi daah huwa natamani kulia[emoji3][emoji3]
Mimi sio mfuasi wa mashetani wala hao livakuku 🚶🏻♀️🚶🏻♀️Ulianza vizuri ila hapo mwisho ndiyo umeharibu😢
Usiwape kichwa Mashetani bhana
HalwaHuwa tunavumilia mengi sana ila sio Kuibiwa Mke lakini [emoji87][emoji125][emoji125]
Kuna watu tunatafuta ajira na hatujapata..tunafanya hizo biashara unazosema na tunateseka usiku kucha kuzunguka kuuza barafu,,ukisema ujipe likizo ndio utashinda njaa hiyo siku.
Ukiwa nayo unamshukuru Mungu nkamu.
Mara ya 2 umeongea hili humu.
Nkamu wewe siyo wa kunihujumu[emoji1787]
Kuna watu tunatafuta ajira na hatujapata..tunafanya hizo biashara unazosema na tunateseka usiku kucha kuzunguka kuuza barafu,,ukisema ujipe likizo ndio utashinda njaa hiyo siku.
Ukiwa nayo unamshukuru Mungu nkamu.
Mara ya 2 umeongea hili humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh ndyoooooo yaan, afu wana Yale magonjwa nyemelezi, afu wana pesa ndefu.Ila mashabiki wa Arsenal wanavutia.. wako na zile physical appearances safi kabisa.
Ni kama vile asilimia kadhaa ya ma gents na ma beautiful ladies walienda Arsenal
Source: rafiki zangu na ndugu zangu
Nasema sitokii nasubiri sekfie matata ya boss wangu
Hapo umenifurahisha, haya nitumie namba ya MPesa nikutumie hela ya Bia 5Mimi sio mfuasi wa mashetani wala hao livakuku 🚶🏻♀️🚶🏻♀️
Niko zangu Arsenal kwa mahendsam boys 🤒
Haya naomba zawadi 🤸🏻♀️
Leo sijavaa Miwani yangu lakini nimeweza kuona Pisi Kali.
JF is blessed [emoji119]
Ndiioooo wangoni hoooyeeeee [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji8][emoji8][emoji8]
Usianze tafazali 😹[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh ndyoooooo yaan, afu wana Yale magonjwa nyemelezi, afu wana pesa ndefu.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
VVD huyuWakati huo akina VVD watakuwa wapi kumkaba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie msipokaa sawa mechi zote zinazofata mtapoteza kama siyo kudraw[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukutane mwisho wa msimu, tusianze mbwembwe nyingi, macho yatathibitisha.
Tusubiri kuona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ukiona hadi Kizee miye nimeweza kuona bila miwani ujue you are on fire 🔥🔥🔥🔥mwee mwee
Kumbe ni huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naingoja best [emoji18] na Shabiby
Arsenane oyeeeee [emoji81]
Baki hukohuko nkamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pa kunipata unapajua 🚶🏻♀️Hapo umenifurahisha, haya nitumie namba ya MPesa nikutumie hela ya Bia 5