Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,514
- 235,219
Hadi nimekuwa kama mwehu; sielewi naanzia wapi kushabikiaMarahaba mama mchungaji
Najaribu kuitafakari furaha uliyonayo
Hadi nimekuwa kama mwehu; sielewi naanzia wapi kushabikiaMarahaba mama mchungaji
Najaribu kuitafakari furaha uliyonayo
Hivi hadi wewe huwa yanakuchekesha mwanangu???[emoji3][emoji3][emoji3] matani yangu mwenyewe hua Yananichekesha
Hahaha bahati nzuri hela ya kubadili mboga ipo otherwise ningejiunga na cheka tuHivi hadi wewe huwa yanakuchekesha mwanangu???
Ujue tunakosa hela za bure na kipaji unacho tena in-born kabisa.
Mpigie simu siku moja,uunganishe na zile stori za manabii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yesuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji108]Timu lenu siavi mmeacha mipira mmegeukia u free Mason Ngoja siku hiyo na man utd hayo mapepo lazima yatoke yatake yasitake mpaka Leo hua hatujui zile tano zilifikaje Ni nguvu zenu za giza
Sasa si uongezee na hizo za comedy[emoji2]Hahaha bahati nzuri hela ya kubadili mboga ipo otherwise ningejiunga na cheka tu
[emoji3][emoji3] kila mtu afanye kazi anazopenda na kumudu...Leo siku ya kumuenzi shujaa MAGUFULi kada mwenzangu utakua wapiSasa si uongezee na hizo za comedy[emoji2]
Au ndio hutaki kazi za kishenzi kama za kuuza maandazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah[emoji3][emoji3] kila mtu afanye kazi anazopenda na kumudu...Leo siku ya kumuenzi shujaa MAGUFULi kada mwenzangu utakua wapi
AiseeeSaint Anne game yetu na nyie takataka nataka nifanye namna nikaichek live navunja kibubu nikashuhudie mauaji ya halaiki
Kwahiyo wewe hupendi kuchekesha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] kila mtu afanye kazi anazopenda na kumudu...Leo siku ya kumuenzi shujaa MAGUFULi kada mwenzangu utakua wapi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dogo natembea na first aid kit..ila lazima tuweke genoside pale anfield mungu anatupa livapool kondoo wa kumchinja Kama zakaAiseee
Unataka utupe gharama za kuja kukuuguza huko Mersey !
Nani atakuokota sasa pale Anfield ukizimia?
Hizo ni ndoto za kusadikika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dogo natembea na first aid kit..ila lazima tuweke genoside pale anfield mungu anatupa livapool kondoo wa kumchinja Kama zaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo kuna ki hali cha hewa mwanana
Na enjoy tu kuona fujo za vijana wa J. klopp
SA kama nakuona [emoji1787][emoji1787]
Mwenzako jana nilibet na shabiki wa Arsenal… nilimwambia mtafungwa
Na yamefungwa [emoji1787][emoji1787]
Nisubiri muamala nikale ugali dagaa wa mama Clareee [emoji2212][emoji2212]
Subiri dogo mpaka Mimi naenda jiji la Liverpool hujiulizi tu na huogopi ?Hizo ni ndoto za kusadikika
Ni hiyohiyo Man u ya kina Maguire unaitegemea itufunge Au unatoka na timu yako pale njombe?
Hivi unadhani soka la huko lina janja??Subiri dogo mpaka Mimi naenda jiji la Liverpool hujiulizi tu na huogopi ?
Eti hii nchi Uhuru umezidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we dgo na wew ni comedian[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi naye kwa akili ya kawaida,alikubali kabisa kubet na kuwapa arsenali ushindi!?[emoji3]
Kwa timu gani waliyonayo ya kuifunga Liverpool??
Hii nchi uhuru umezidi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna namna,atoe hizo hela
Mpo kwenye mnada chini ya yono auction mart
😂😂😂 watu wanajisahau sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi naye kwa akili ya kawaida,alikubali kabisa kubet na kuwapa arsenali ushindi!?[emoji3]
Kwa timu gani waliyonayo ya kuifunga Liverpool??
Hii nchi uhuru umezidi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna namna,atoe hizo hela