Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Abeeeeee boss😀😀😀😀 ngoja watu wapotee niweke ka video mtoto ana cheza
Abeeeeee boss😀😀😀😀 ngoja watu wapotee niweke ka video mtoto ana cheza
Nikimaliza mizunguko yangu ntakuselfikiaNimekuja kukuona Heaven Sent
[emoji16][emoji16]ni mzigo wa makaratasi tu huu.Mkurugenzi naomba nikusaidie kubeba huo mzigo tafadhali
[emoji16]cocastic hujapita hapa? (Ole wako utoe maneno yako yale sasa)
[emoji1787]Rangii hii mkuu!. Kuwa makini unaweza kujikuta umelima miwa karibu na shule ya msingi. Nyuma yupoje hihiiii!!
Endekeza tuSt Anne ni kichomi
Hovyoo[emoji849]Litawekwa Pale Uyole njiapanda ya Dar,Tukuyu na Tunduma
Watu wote wajue kuwa Pep ni mwanaume na nusu.
[emoji1787][emoji1787]Hufai
Kazi ya kusifiaWeuweeeeeeeh mtoto na upaja wake, uwiiii [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nifanyie hisaniEh dear [emoji2][emoji2]
Thank you japo hamna paja hapo kabisa [emoji23]
Watu wana mapajaa yao kama kina boss lady hapo .
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]... paka sass hivi inazunguka kichwani
Kwa ujuzi wangu wa kula ugali, huo ugali una mabunye na haujapikwa sawasawa. Usipoangalia tumbo litakusumbua tu![emoji16][emoji16]Nimekula sahani mbili za Mtakatifu Anne na zingine tatu za Lizzy kwenye sahani moja
View attachment 2151797
Huu ugaliKwa ujuzi wangu wa kula ugali, huo ugali una mabunye na haujapikwa sawasawa. Usipoangalia tumbo litakusumbua tu![emoji16][emoji16]
Kwa ujuzi wangu wa kula ugali, huo ugali una mabunye na haujapikwa sawasawa. Usipoangalia tumbo litakusumbua tu![emoji16][emoji16]
Mwache asifie tuNifanyie hisani
Coca anakusifia vipi[emoji848]
Naelewa utatenda