Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Boss fanya kaziππππππ... paka sass hivi inazunguka kichwani
Boss fanya kaziππππππ... paka sass hivi inazunguka kichwani
Nimemaliza kazi tayari βΊοΈβΊοΈβΊοΈβΊοΈ.. nasubiri kuanza kudondosha vitu hapaBoss fanya kazi
Ya tattoo?Nimemaliza kazi tayari.. nasubiri kuanza kudondosha vitu hapa
Wapi huko boss?
Nyingine... bwanaaa usikalili πππYa tattoo?
karibu tu hapo staff πππWapi huko boss?
Kuna kitu kipya ambacho hakihitaji kufungwa khanga na dada ako?Nyingine... bwanaaa usikalili![]()


Cha leo moto motooo sanaaaa... hicho nitavunja protocol nikufate PM ukione peke yako.. hapa nisije leta vita wakora wakaanza mfatiliaKuna kitu kipya ambacho hakihitaji kufungwa khanga na dada ako?![]()
Ooh thank you byurifulPicha yenyewe hii
View attachment 2151745
Wacha weeeeeCha leo moto motooo sanaaaa... hicho nitavunja protocol nikufate PM ukione peke yako.. hapa nisije leta vita wakora wakaanza mfatilia
Mno mnoo!Ooh thank you ..
Japo camera hizi zinatusaidia .
Si unajua boss wako sikosei ππππ yaani mambo.. yetu ni moto..Wacha weeeee
Ooh asanteOoh thank you byuriful
Huyu angalau anaonekana hana mambo mengi. Au sio wifi ake Saint AnneSi unajua boss wako sikosei ππππ yaani mambo.. yetu ni moto.. View attachment 2151749
ππππ haka kapole kaoga hata kuongea.. kakiniona kanapiga magoti chini kanaongea huku kanatetemekaHuyu angalau anaonekana hana mambo mengi. Au sio wifi ake Saint Anne
Haka ndiyo kanafaa kwa ndoa. Sio mtoto wa kike mattatoo utafikiri ngozi ya kengeππππππ haka kapole kaoga hata kuongea.. kakiniona kanapiga magoti chini kanaongea huku kanatetemeka
Sema haka hukafikia kwa kishundu hata muungane... ππππ€Huyu angalau anaonekana hana mambo mengi. Au sio wifi ake Saint Anne