cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,983
Haya naomba nione hapa shouzzz hiyo picha.Niwe nalo nitambe! [emoji849]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Haya naomba nione hapa shouzzz hiyo picha.Niwe nalo nitambe! [emoji849]
Tatizo lako huamini mdogo wangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha zako bhana, pesa zipo wee suka tyuuh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahahaaa..kumbe umeiwahi!!Mpaka hapa tayari nna umbo kamili
[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji12][emoji8][emoji8][emoji8]
Kipindi hicho unakula kama binadamu mwingine wa kawaida 🙂#tbt #zanzibar #2017View attachment 2151658
Mwweeh![emoji2296]Hufai
Nilijua tu na guu la bia analoMadam na guu la bia[emoji7]
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]Nilikua tu na guu la bia analo
Huyu ni mtu na nusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua atairudia picha nisifie na guu lake la bia..boss ledi ni msikivu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka badala ya kulia wallah, nwei sawa tyuuh. [emoji7][emoji7][emoji7]Tatizo lako huamini mdogo wangu.
Fanya 50,000 tsh inene nami tafadhali
Hebu huko niwekee nione mie hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji12][emoji8][emoji8][emoji8]
Waukweee! Umenoga sanaaa
Ooh thank you dear [emoji7]Waukweee! Umenoga sanaaa
Weuweeeeeeeh mtoto na upaja wake, uwiiii [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Eh dear [emoji2][emoji2]Weuweeeeeeeh mtoto na upaja wake, uwiiii [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Una rangi nzuri from head to toe .Niliweka hio!View attachment 2151680