Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wanazaa matahira Sana sababu ya inbreeding. Sema wanawaficha.
Ndio maana nimesema kisayansi.. ila kama damu ya generation ipo safi mbona poa tu.. maana pia wapo wasio kuwa na hiyo shidaaa.. Ibrahim mwenyewe alimtuma msaidizi wake kumchukulia Isaka mke kwenye nyumba ya ndugu zake.. ina advantages na disadvantage.. For me haina shida ndugu kuoana. na sio dhambi pia biblical
 
Haaaa hapana. Sheria huwa zinatokana na utamaduni wa watu. As long as huo utamaduni hatuna, na sharia ikaharamisha basi sio jambo la busara kulifanya.
 
Unachokutana nacho kwa binadamu mwingine ni mchomozo wa kiwango chako cha mabadiliko

Screenshot_20220315-035032_Tumblr.jpg
 
Weuweeeeeeeeeeeeh shouzzzzzzzz sio kwa vazi hilo la leo, mbna umetoka ki afisa tena ki balozi balozi yaan,
Noga sana shouzzzzzzzz ake,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ukute huyu ni balozi wetu wa TANZANIA huko Turkey
Anapiga pamba high quality kama za kituruki hivi ukijumlisha na shepu yake na ile rangi ya mtume wetu pendwa Muhammad (S.A.W) basi mambo ni
Neema za Mola hizi
 
hapana hiyo tabia ni ya mtu na sio tabia ya kike. Sema nimechelewa kuna binadamu yangu kisu kishenzi sema kaisha wahiwaa.. wangechelewa tu ningeweka ndani.
Mimi niliokutana nao wengi wanapenda zaidi kupewa na mwanaume. Na wengine wanapenda vitu sio Hela.
Kuna mmoja nilimtumia Hela ya sikukuu anunue nguo akaniambia anajiskia raha nikimnunulia nguo kuliko kumpa Hela. Ni tabia ya kike, unajua twapaswa kuwatunza.
 
Anything for you shos akeee! Shimba Ya Buyenze msukuma nakusalimu kwa jina la Selfika View attachment 2151294
Marahaba Boss Lady...na asante sana. Jana hukuonekana hapa na nilikuulizia mno mpaka nikazidisha. Usipokuwepo hapa tunakuwa kama watoto yatima tu yaani. Hatuwezi kuishi bila Boss Lady hapa jamani. Hata siku ukitingwa na majukumu yako angalau toa angalizo mamake.

Mungu Akubariki. You add value to others
 
Ukute huyu ni balozi wetu wa TANZANIA huko Turkey
Anapiga pamba high quality kama za kituruki hivi ukijumlisha na shepu yake na ile rangi ya mtume wetu pendwa Muhammad (S.A.W) basi mambo ni
Neema za Mola hizi
cc umemalizaaaa kabisaa, haipingwi yaan.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom