Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi niliokutana nao wengi wanapenda zaidi kupewa na mwanaume. Na wengine wanapenda vitu sio Hela.
Kuna mmoja nilimtumia Hela ya sikukuu anunue nguo akaniambia anajiskia raha nikimnunulia nguo kuliko kumpa Hela. Ni tabia ya kike, unajua twapaswa kuwatunza.
Ndio maana nikasema ni tabia ya mtu na mtu kuna wapenda zawadi kuna wapenda hela kuna wapenda sex kila mmona ana tabia yake .. mkuu unatuma hela eeh! Hongera 😀😀😀
 
IG: walter_photography_ug

Screenshot_20220315-040329_Instagram.jpg
 
Ndio maana nikasema ni tabia ya mtu na mtu kuna wapenda zawadi kuna wapenda hela kuna wapenda sex kila mmona ana tabia yake .. mkuu unatuma hela eeh! Hongera [emoji3][emoji3][emoji3]
Sometimes yes, tuwang'arishe mkuu.
Ngoja kwanza nipe details za kampuni tuombee tenda ya consultancy services mkuu
 
Boss lediiiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Amependeza kama kawaida yake[emoji91][emoji91]
Kuna watu wanapendeza jamani duniani huku[emoji3059][emoji108]
Kama wameshushwa hivi kutoka mawinguni[emoji23][emoji91]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥱🥱🥱🥱! Saprize yako ya upambe iko pale pale!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🥱🥱🥱🥱! Saprize yako ya upambe iko pale pale!
Mabossledii wakishua wanatoa surprise jamani[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Boss lady ni mtu na nusu
Boss lady wa kishua
Boss lady hana uswahili
Boss lady anatimiza ahadi
Boss lady mzungu wa roho[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji23][emoji91][emoji91]
 
Weuweeeeeeeeeeeeh shouzzzzzzzz sio kwa vazi hilo la leo, mbna umetoka ki afisa tena ki balozi balozi yaan, [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Noga sana shouzzzzzzzz ake, [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
🤸🤸🤸😘😘😘😘😘😘😘!!
Sante sana shos!
 
Ndio maana nikasema ni tabia ya mtu na mtu kuna wapenda zawadi kuna wapenda hela kuna wapenda sex kila mmona ana tabia yake .. mkuu unatuma hela eeh! Hongera [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Marahaba Boss Lady...na asante sana. Jana hukuonekana hapa na nilikuulizia mno mpaka nikazidisha. Usipokuwepo hapa tunakuwa kama watoto yatima tu yaani. Hatuwezi kuishi bila Boss Lady hapa jamani. Hata siku ukitingwa na majukumu yako angalau toa angalizo mamake.

Mungu Akubariki. You add value to others [emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahaaa...Jana nilitingwa Kidogo msukuma shukrani sana niliona jana ukinitafuta san ..
Msiwaze kabisa bosi ledi yupo selfika leo Kesho nahata milele yani tupo pamoja daima
😘😘😘😘✌️✌️✌️✌️🤩🤩!!!
 
Back
Top Bottom