Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Huo ugali kwangu ni wa kuonja tuNimekula sahani mbili za Mtakatifu Anne na zingine tatu za Lizzy kwenye sahani moja
View attachment 2151797
Huo ugali kwangu ni wa kuonja tuNimekula sahani mbili za Mtakatifu Anne na zingine tatu za Lizzy kwenye sahani moja
View attachment 2151797
Mi ni nani nibishe 😄Huo ugali kwangu ni wam kuonja tu
KabisaMi ni nani nibishe [emoji1]
Hapa bado sijabandika bado bango wigeHovyoo[emoji849]
Hahaha!Endekeza tu
Kuna mbwa mkali
Eti kichomi[emoji849]
Mwisho ukikata ringi
Tunauza barafu[emoji1787]
Shauri yako
huyu ndio walikutaga KY gheto kwake 😃😃😃.. picha nzuri sana
Naomba😃😃nimepata hamu ya chaiYa nazi 🥥 😋View attachment 2151869
Bahati mbaya kwangu picha haijaonekana...
Hata kwa kuuangalia tu hauko sawa. Kwa sisi wazee wa Kisukuma huu wala hatuugusi tunaamru tu upikwe mwingine tena na mpishi tofauti...Huu ugali
Ulianza uji[emoji1787]
Hivi ugali kama huo nakulaje[emoji848]
[emoji1787][emoji1787]Hata kwa kuuangalia tu hauko sawa. Kwa sisi wazee wa Kisukuma huu wala hatuugusi tunaamru tu upikwe mwingine tena na mpishi tofauti...
Nilipompeleka waifu Usukumani rasmi kwa mara ya kwanza mwaka 1962 nilimchomea kwa mawifi zake wakamsakizia eti kupika ugali weee! Sijui alipika nini yaani lakini wazee walicheka mpaka wakagaragara chini wakampiga na faini ya kuwanunulia tumbaku. Tangu siku hiyo kazi yake kubwa ikawa ni kufagia fagia uwanja na kuosha osha vyombo na madogo basi. Ila sasa alipogundua kuwa miye ndo nilimchonjea kwa mawifi zake ule msala, nilinuniwa karibia wiki mbili nzima tulizokaa kule dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
#SweetMemories
Njoo ule 😊Naomba😃😃nimepata hamu ya chai
🤗🤗 hapo mchaichai ndio mwake mwake hii jioniNjoo ule 😊
Chai unataka ya iliki, mchaichai au tangawizi?
You got it!!🤗🤗 hapo mchaichai ndio mwake mwake hii jioni
Watoto wanakua [emoji3590]
Chakula kama hiki
Kicho Cha wawili kabisa mbonaChakula kama hiki
Unakula huku umeolewa[emoji848][emoji849]
Halafu utendaji kazi
Unakuwa na ufanisi
Kweli[emoji3]