Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mabossledii wakishua wanatoa surprise jamani[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Boss lady ni mtu na nusu
Boss lady wa kishua
Boss lady hana uswahili
Boss lady anatimiza ahadi
Boss lady mzungu wa roho[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji23][emoji91][emoji91]
🥱🥱🥱🥱🥱🥱😜😜😜🤩
 
Hahahaaa...Jana nilitingwa Kidogo msukuma shukrani sana niliona jana ukinitafuta san ..
Msiwaze kabisa bosi ledi yupo selfika leo Kesho nahata milele yani tupo pamoja daima
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji2956][emoji2956]!!!
Mungu Akulinde Boss Lady wetu...

Kila mtu na aseme ___________[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
20220315_122354.jpg
 
Oooooh sijui sasa itakua n mie au lah, but huwa naendaga sku za weekend tyuuh.

Kwan unakata nywele wee kipenziii? Wee suka bhana, kuweka kiduku, Funk, afro, niachie mdogo ako hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ohoo okay.

Yes ninakata nywele..pesa ya kusuka nywele sina mdogo wangu.

Akijitokeza mtu akazungumza na airtel money yangu nitaenda kusuka
 
Hahahaaa...Jana nilitingwa Kidogo msukuma shukrani sana niliona jana ukinitafuta san ..
Msiwaze kabisa bosi ledi yupo selfika leo Kesho nahata milele yani tupo pamoja daima
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji2956][emoji2956]!!!
Na wote tuseme AMINA
 
Ohoo okay.

Yes ninakata nywele..pesa ya kusuka nywele sina mdogo wangu.

Akijitokeza mtu akazungumza na airtel money yangu nitaenda kusuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha zako bhana, pesa zipo wee suka tyuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom