cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290





suka rasta nawee, sasa shemu atavutiwa nn hilo pank? Ebooooh. Suka bhana shem anavutaaa kidgo km kupandsha starter wakat wa.........
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app





suka rasta nawee, sasa shemu atavutiwa nn hilo pank? Ebooooh. MmhMtaa wa tatu
Mmh.Mtaa wa tatu
Chaaaa!suka rasta nawee, sasa shemu atavutiwa nn hilo pank? Ebooooh.
Suka bhana shem anavutaaa kidgo km kupandsha starter wakat wa.........
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Subiri hapohapo 😂
Mmh.
Chaaaa!
We mtoto wa juzi unaongea mambo nisiyoyajua
Watoto wamekwisha!




cc acha dharau bas, mie mtoto kweli? Km naweza kumbeba kifuani mtu mzima mwenye meno 32 yote, na akatoa maneno na lugha 27 ambazo anapaswa kunena akiwa kifuani kwa mtu, huo utoto wangu uko wapi? 





Hebu huko mie nione hapa lol,Subiri hapohapo
Lile baridi la Loleza halitaki nigeuke





Sasa ndiyo umefuta? em iache hapo tuoneNishatupia
Nakamilisha kozi
Niliona na comment yako unataka kuja kusuka knotless?Ooh yeah napafahamu ilipo hiyo hospital .
Sema sipendi huduma zao bora uende Aga khan ukae foleni ujue moja .
Mungu ni mwema ..Anahitaji kushikwa mkono.
Niliishia kumuonea huruma,uwezo tu Sina..ningemsaidia
Ooh yeah nahisi nitasuka maana kila ukipita mjini huko unaona mtu ameisuka ngoja niijaribu nione .Niliona na comment yako unataka kuja kusuka knotless?
Watu hatujaona msuko huo Saint AnneSasa ndiyo umefuta? em iache hapo tuone
Ukipata msusi wa uhakika, zinapendeza hadi basiOoh yeah nahisi nitasuka maana kila ukipita mjini huko unaona mtu ameisuka ngoja niijaribu nione .
Eti, tutashawishikaje kwenda kwa huyo msusi wake?Watu hatujaona msuko huo Saint Anne
Ooh kweli ..Ukipata msusi wa uhakika, zinapendeza hadi basi
Haha kweli ngoja aje ..Eti, tutashawishikaje kwenda kwa huyo msusi wake?
Eeh butterfly locs ni za kiduu sana, ila nzuri mwenzangu🤣🤣Ooh kweli ..
Nimezipania zitokee tu vizuri weh
Au kuna hii butterfly locs imekaa kisister duu japo nazipenda ukisuka hazimkatai mtu .
Karibu ❤️