Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Fasta sana bossTwende nikutoe out staff wangu 😎😎
Fasta sana bossTwende nikutoe out staff wangu 😎😎
hujamboo?
Shusha shusha Eng. .... nami nipo hapa nasubiri![]()







Fundi ana mkono mbaya.Urembo kazi
Msuko uliniuma huu ililibidi nipake diclogel nipate usingizi View attachment 2149848
Namalizia kulia, imagine kitu nilikiwahi kabisa
Nipo poa vipi wewe hukohujamboo?
Vocha zinakupita nakushtua unasema nimechachuka!cc niache kwanza, mbna umechachuka sku hizi? Hebu nambie kwani lol
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app

Nazingua nn tena brohz angu? Hebu nambie kwan?We dogo unazinguaaa
Pole. Hizi nywele mbona haziumagi jamaniUrembo kazi
Msuko uliniuma huu ililibidi nipake diclogel nipate usingizi View attachment 2149848
Una dhambiBoss wangu ulipata tag kabisa
Just imagine hadi nimepata muda wa ku screenshot
View attachment 2149850


Ooh yeah ana mkono mchungu itakuwa maana sio kwa maumivu hayo ..Fundi ana mkono mbaya.
Yupo dada mmoja anasuka vizuri halafu haziumi hata kidogo,unakuwa kama hujasuka vile.
Pole sana mamy hope kishatulia!Ooh thank you dear..
Japo Sina hamu maana nilikaa chini weh hadi nikakosa pozi .
Jf nzima na majukwaa yote wanajua hakuna kama boss ledi

Sijaona lips bhana wee best,Urembo kazi
Msuko uliniuma huu ililibidi nipake diclogel nipate usingizi View attachment 2149848




Hii comment kuja kuisoma ni saa 7.Yani umenipa tabu ya kutembea
na vocha uliyokwanguliwa imagine ningeitupa!!
Katume kuleeee jomoneeeeeeh shouzzzzzzzz anguYani umenipa tabu ya kutembea
na vocha uliyokwanguliwa imagine ningeitupa!!





Vocha zinakupita nakushtua unasema nimechachuka!![]()





hivi unajua siku hizi umeshanduka na kuchachuka wee? Yaan uwiiiiiiih