Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thanks for the laugh 9.8ms squared 😁😁
Umefanya safari yangu ya kurudi home iwe fupi sana 🤗
20220314_163446.jpg
 
😀😀 Malaika wenyewe ninao hapa.. wanasema ilikuwa mistake kuwepo hapa.. wewe ni female angel.. sema mabawa yako hayaonekani kwa macho ya kawaida...

uzuri mashabiki ndio wanajua kiwango cha mchezaji 😀😀😀.. hakuna cha uongo kwa mkuu Fortnox .. usiamishe magori basi ☺️☺️
Mbona sina imani na hao malaika wako? 😁😁😁🙈 Fanya kuniunganisha nao niwacheki kama wako legit 🧐🧐
 
Back
Top Bottom