Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Wapiiii.Umeona??
Wapiiii.Umeona??
We dogo unazinguaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nipo na nitakuwepo ulipoMungu wetu ni mwema sana amenipatia nafasi ya kuendelea kuwa na uhai🙏.
Mengine tutatafuta
Ni nafurahi kukuona tena😉😉
Imekaa dk 5 kabisaNipo japo sijaona picha
Hapa hapa nkamuWapiiii.
Ooh sawaImekaa dk 5 kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah[emoji56]
A shoe [emoji6][emoji3590]View attachment 2149039
Rudia bana kabla sijaanza kusugua masufuriaHapa hapa nkamu
Lipi hilo shouzzzzzzzzzz angu? Sitaki kupitwa hata kidogo lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wadogo zangu Saint Anne na cocastic badae nna jambo lenu...
Baadaye boss wangu kamalizie majukumu nitakuita napita hapa live leoRudia bana kabla sijaanza kusugua masufuria
Babuu hovyo weweee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Finito kwenye bilauri ya njegeleView attachment 2149070
Nakusalimia kwa jina la selfikaQ
Hio tabia ya kufuta haraka haraka ivo umeianza lini lakini????
Irudiweeeee irudiwe!!😌
Irudie yote sasa
Nakusalimia kwa jina la selfika
Boss wangu ulipata tag kabisaQ
Hio tabia ya kufuta haraka haraka ivo umeianza lini lakini????
Irudiweeeee irudiwe!!😌
Acha huu usanii Eng tupia kitu full bana
Shouzzzzzzzz angu huyo bhana noma na mie, najua any time atafanya inavotakiwa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]cocastic shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Eng yupi tena madam😜Acha huu usanii Eng tupia kitu full bana