Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu tulia hapo yudizim usome[emoji3]
Tena sijui niombe uwarden niwanyooshe watoto waone cha mtema kuni [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utanyooshwaa wee, hivi wanafunzi wa yudiii unawajua vizuri? Haya tyuuh


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utanyooshwa tyuuh, sema unaweza omba wakati huo mie nshatoka, uwiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mwaka huu huu
Hata kama umetoka ntakurudisha nikunyooshe kwanza

Naanza na wazee wa exile maboya walinikosesha raha sana hostel[emoji34]
 
Back
Top Bottom