Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😀😀 huyu binti ni mtakatifu sanaa kumfananisha na mzungu makosa.. acha nimfananishe na malaika tu.. kwenye wanawake mia kama huyu unapata mmoja au wawili hawazidi 10.. zaidi ya classic.. yani yupo mbinguni na duniani.. ebu jaribu twaweza changa michango 😀😀😀
Lohhhhhhh 😂😂😂😂😂🙈
Sio kwa sifa hizi 9.8ms squared ☺😁😁😁
Jamani malaika si wanaweza kuandamana?? 😳

Endelea tu kumdanganya mwenzio Fortnox afikirie kuna zaidi ya ule mkono wa uzi wa vyakula 🤪🤪
 
Lohhhhhhh 😂😂😂😂😂🙈
Sio kwa sifa hizi 9.8ms squared ☺😁😁😁
Jamani malaika si wanaweza kuandamana?? 😳

Endelea tu kumdanganya mwenzio Fortnox afikirie kuna zaidi ya ule mkono wa uzi wa vyakula 🤪🤪
😀😀 Malaika wenyewe ninao hapa.. wanasema ilikuwa mistake kuwepo hapa.. wewe ni female angel.. sema mabawa yako hayaonekani kwa macho ya kawaida...

uzuri mashabiki ndio wanajua kiwango cha mchezaji 😀😀😀.. hakuna cha uongo kwa mkuu Fortnox .. usiamishe magori basi ☺️☺️
 
Back
Top Bottom