Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Wanaelewa kazi yaosafi sana acha wajenge miundo mbinu
mturuki naye kaingia drc kwa kasi km mchina
Kama hakuna uswahili
Lakini hao macho madogo
Ni mbwa kabisa
Hawafai
Wanaelewa kazi yaosafi sana acha wajenge miundo mbinu
mturuki naye kaingia drc kwa kasi km mchina
Nipeni basi madili nikamate mahelaAsante
Afisa masoko[emoji1787]
Cheusi Mangala wa Green city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ni black beauty, au cheusi mangala? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noga sana cc angu, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Eeh marketing officer nilitaka kusema maneno bila picha hayaendiYaani huyu fundi hata nikimleta kwako utaona haya majaabu
Nimesuka nywele Kwa miaka sasa ila sijawahi kutana na fundi kama huyu ambaye mkono wake hauumi kabisa nywele ya Rasta hiyo..
Nikajua labda amebahatisha tu hiyo siku,nikaenda tena siku nyingine..mambo yakawa yaleyale haziumi.
Nikajua kichwa changu kina sugu[emoji3],
Nikampeleka sister wangu ambaye yeye kichwa chake ni tona tona akisuka mara mapele haya,analalamika zinaumaaa
Aliposuka kule alilala vizuri,akamsifia,akarudi Tena..na ukitaka akufuate nyumbani anakuja,unampa tu nauli.
Huyu fundi sasa saluni Hana,anasukia tu nyumbani na wateja ni mmoja mmoja
Kwa kile kipaji chake ilitakiwa akae sehemu kali saloon kubwa za kishua huko Mlimani City.
Baadaye nitasindikizia na kapicha ka nywele nilizosuka kwake[emoji108]
Ndiyo ndiyomoro town
Kahumba
Chipukizi
Madaraka road
Ntakunyoosha na hizi pumba zote utaacha[emoji3]Mie mwakani nasepa zangu mazima, ko wee omba tyuuh tutakutan tuoneshane makali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kesho kutwaNipeni basi madili nikamate mahela
Nipe dili masela nikamate mahela
Nipeni dili nipeniydili masela
Maselaaa
Mahelaaaaa
Naimba tu[emoji3]
macho macho wako busy na udongo wa congoWanaelewa kazi yao
Kama hakuna uswahili
Lakini hao macho madogo
Ni mbwa kabisa
Hawafai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cna hapa woiiiiih.Cheusi Mangala wa Green city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na yeyemacho macho wako busy na udongo wa congo
mturuki anataka miundo mbinu
Ya kipole mno[emoji23][emoji23][emoji23]Sura ya upole lakini kelele nyingi[emoji23]
Ndio wapi huko?Kesho kutwa
Twenzetu bukavu
Kupitia usumbura[emoji1787]
Mtaa wa tatuNdio wapi huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemaje wee pata nafas, ntakuonesha makali yangu kwa vitendo, sio maneno tenaaaah.Ntakunyoosha na hizi pumba zote utaacha[emoji3]
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🥱🥱 !Nyingine Tena??[emoji3590][emoji3590]
Uwiii[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3][emoji3][emoji56][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Boss lediii ni watu wawili na nusu na kipande[emoji91]
A wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cna hapa woiiiiih.
Eeeeh sasa ndo usukege hivi nawee, sio kuweka weaving mmmmh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Geuka nikuone head girl wa Loleza sec, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya kipole mno[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2150097
Nishatupia[emoji3]Eeh marketing officer nilitaka kusema maneno bila picha hayaendi
Kanani kanakuja kuutoa?Umeandika
Huku gusbam zinakutoka[emoji1787]
Subiri muongozo
[emoji1787]Kanani kanakuja kuutoa?