Acha tu uwe na mwili wa hivyo dada..
Irudiwe kupostiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3] acha kujidanganya emu
Alafu hii Tabia ya kuweka na kufuta kabla sijaona sipendiiii..mpigwe ban wote mnaofanya hivyo[emoji41]Hii sura nimewahi kuiyona mahali ila sikumbuki ni wapi yaani kumbukumbu zinakuja zinapotea serious [emoji848]
Una swali@Ntuyadili ?
Wa kishua[emoji1635]
View attachment 2146062
Ukweni kwangu huko,,, hebu msipakosee adabu
Hapana Mkuu. Niko vizuri.Una swali@Ntuyadili ?
karibu katerero, kanazi, mugaza, ibwera....Hapana Mkuu. Niko vizuri.
Wa kishua
Mic u moaaah shouzzzz [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Tupo pamoja shos! Wee subiri utafurahi mwenyewe mbona!
Yaan wee acha tyuuh lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapenda app tunateseka sana hasa nyakati za usiku ..
App inakuwa down .
Mlo kamili in every sense of the word 🙂Hii ni starter au ni chakula kamili....?
Post uombe na michango...ikipatikana tugawane.🙂Mkuu nitoe hilo ua hapo usoni au nikupost fesibuku hvohvo kuwa umepotea..😀..
Au mambo yako nikuachie mwenyewe..
Kipara ngoto [emoji848][emoji849]Weuweeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ona sasa huyu ndio boss lediiiiiiiiiii
Ngoja nimtunzie na Pep amuone Shem wake[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Lini utajiachia[emoji848]Geuka basi ili tuone maashakum [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMara hii ushaanza kuleta hivi vibonzo blaza!! Anniversary ya 60yrz utafika umechoka kinyama
Heavy meals wakati mwingine ni muhimu, hakuna namna😆😆😆Acha tu uwe na mwili wa hivyo dada..
Wengine hapa tushakula heavy meal na kapepsi ..kupunguza uzito ni safari ndefu [emoji28][emoji28].