Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,278
B4 Thursday kuisha 😅 na unataka kusemaje?Bado mtoto ananyonya😀
B4 Thursday kuisha 😅 na unataka kusemaje?Bado mtoto ananyonya😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Una vituko sana 🤣
Short hair ni haikatai haikatoxNitumie kwa BM kesho mapema plsss, na saivi kusuka uvivuuu
Nitumie hako kawigi katanifaa mie😃
Short hair imekutoa biurifoo
mboga za majani uwe unamchumia kwa wingi dia !😜😘
Hapana nimeuliza tu Depal nyonyo nzuri.B4 Thursday kuisha 😅 na unataka kusemaje?
hahaaa pamoja sana✌️✌️✌️✌️✌️Hii komenti imeninyegesha.Have a good evening bosslady.
Wacha weeUsicheke dia nilitia aibu hakiii halafu kisigino hakikuwa kirefu kiivo na kilikua kinene tu ila ushamba wangu vikanishinda! Imagine kingekua kisigino chembamba si ndio ningegalagala mpaka!!
View attachment 2145996

Ngoja nitafute nauli😂Short hair ni haikatai haikatox
Njoo ufate emu huko 🤣
Wachaga wote huwa wana asili ya nyweleTunywele tumekubali View attachment 2146006
Hii ni starter au ni chakula kamili....?
Tunywele tumekubali View attachment 2146006
NauliNgoja nitafute nauli😂
Ila short hair jaman inashawishi😍
Adi nimetamani
Wauuweeeeeeehhh....🤸🤸🤸🤸 kama kawaida yako ful kutokelezea😘😘😘♥️
hahahahaUzi uendeleeee.....
Hakika tumeona Miguu miwa,, Miguu ya Bia, Miguu Fito, Mikono yenye stake, Mikono ya kuvunia njugu na vingine vingi..
Ni furaha kwakweli na hii ndio tafsiri ya duniani tutakutana na Watu mbalimbali,
Naomba watu mbalimbali endeleeni kuselfika
Wauuweeeeeeehhh....kama kawaida yako ful kutokelezea
![]()

🤣🤣🤣🤣🤣Nauli
Ningekutumia ila naogopa utakula 🤣
nyoa basi 🤓