cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,308
Si umemsikia mwenyewe..alafu anakaza sauti vibaya wakati anaongea,atakuwa muha huyu dogo
Eeeeeeh leo nimeibamba Mr v8, duuuh sijui nitoe neno, au bas nitulize mshono.#TBT far EASTView attachment 2146077






Haya. Nina dakika 2 tu. Usiniangushe Boss LadyKaa hapo hapo usitoke!!
Bora umenijibia😅Ndiyo!![]()
Aaargh umeanza sasa 😂Hapo sasa
Ndio pagumu
Kwani
Umesemaje![]()
Naomba selfie zote ambazo sijaona mie,Miss you more dia!




Yeah..fanya mambo🤣🤣🤣🤣😜😜😜😜 unataka uone macho yangu dokta????
Lazima tuonyeshe ushirikiano ktk hili😅Lengo letu ni moja dokta![]()
SijaelewaAaargh umeanza sasa![]()
Lips shouzzzzz wallah kuna jamaa alikua anafaidi, analamba hadi macho, mtoto msupuu weeUsiku mwema wana selfika!View attachment 2146147




Okay nimesema nitafanya vile ulivyoniambiaSijaelewa
Hapo sawaOkay nimesema nitafanya vile ulivyoniambia
Si umemsikia mwenyewe..alafu anakaza sauti vibaya wakati anaongea,atakuwa muha huyu dogo






nimecheka mnooo khaaah, etiii anasikia motooo. UwiiiiiiihOkay usiwazeHapo sawa
Nasubiri
Ufanye
Yeah..fanya mambo
Bosi Lady...ni lazima niondoke hapa naitwa huku dah! Basi nitaikosa ila ukiona wepesi niletee nyumbani pulizi.Kaa hapo hapo usitoke!!
