Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ya usiku mwingiWewe siyo wa kuiba mdogo wangu
Ngoja nitakuita mida mida kwa sasa bado ninelala
Ila naomba umwambie mama mchungaji Heaven Sent hajafanya fair kabisa mimi nimejitahidi kumuomba aselfike akasubiri nimesinzia ndo anaselfika hapa yaani nimeumia kweli kuikosa hiyo piacha alafu inavyosifiwa sasa![]()
Ni balaa
Kwa nilivyosikia
Ni mateso bila chuki




