Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bosi lediiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Kwanza amekaa kiboss lady dadeq[emoji3590][emoji91][emoji108]nyie[emoji7]

Boss ametupia hadi vocha za kitajiri za Voda
Leo anatupia Airtel

Dada wewe ni mtu na nusu[emoji91][emoji91][emoji91]
Dogo Kile cheo Cha kusifia mapedeshee kwenye band utakimudu vema ,,,,,papaaa billdrago mutu ya watu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nipo chief [emoji16][emoji16][emoji16].. nasubiri kwanza aje ofisini haiwezekani siku zotee hizi kumbe mie ndio boss wake.. mwalimu wa nidhamu.. yeye staff wa kawaida na tayari nimepata barua ya maandalizi ya kuwa headmaster
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom