Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Sehemu nzuri eeh.. mahala pa kupumzikia 😀😀😀 baada ya heka heka.. jana peke yake nimetembea 726km.. hadi mda huu naingia kujificha.. ona jirani zangu haoKhaa![]()
Nilikisubiri sana dokta umeniangusha!Uliweka?
Ngoja nikutumie Sato kilo kadhaa nione Mapishi yako 😋
Ni sahihi, ila Mpishi wa huo Msosi ametoka mbali sana 😀Chakula kizuri
Kama hiki
Unakipata Mwanza Simiyu
Mara
Hio picha inaashiria tu baridi ni around 19’Cnyumba ya kupumzika ileee karibu dada Karma View attachment 2144098
Kwa watu certified Dumbs yule ni CheerleaderNi nani huyo?
Sijapata kitambo kule,ngoja nikapitie kidogo nicheke.
Yote Kwa yote,hamna anayemzidi Jumbe kuweka tope kichwani aisee🤣🤣🤣🤣
Kuna mtu anazingua af anakuletea ushantaPole sn.. samtaimz unawapotezea Tu
Umekuwa km Genta wanavyokupiga ban
Mwenyekiti wa wapambe! ! Nakuona nakuonaJana
Alitoa full pakeji![]()
On my way T.O.D😂😂
😂😂😂😂😂 Poleee. Ila hujapitwa na chochote nkamuWewe siyo wa kuiba mdogo wangu
Ngoja nitakuita mida mida kwa sasa bado ninelala
Ila naomba umwambie mama mchungaji Heaven Sent hajafanya fair kabisa mimi nimejitahidi kumuomba aselfike akasubiri nimesinzia ndo anaselfika hapa yaani nimeumia kweli kuikosa hiyo piacha alafu inavyosifiwa sasa😭😭😭
Yuda Iskariote on the line.😂😂😂Hayo maombi Kwa HhS nitayafanya nikipata vocha.. ikiwezekana nitakupa picha yake🤣
Heaven SentYuda Iskariote on the line.![]()
Mmmmmmh mmmmmmhLile shepu la kinyaki👌🔥
Iko wapi na Mimi niione jamaniMama mchungaji na shepu yake kaaaliii 🔥🔥ya kinyaki