Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Saint Anne unajikausha Jana wanaume toka Italy wamewapa kitu kizito wew na genge lako la kihuni mmelala na viatu
Sasa ningekupata wapi wakati ulizimia ukabebwa na machela baada ya timu ya kiumeni ya Pep kuwatandika mwanitesa Kwa kichapo kizito Cha bao 4 mkapoteana ndio mnarudi leo

JamiiForums-1509278013.jpeg
 
Anne umeanza lini upambe lakini!!!
Kawaida yangu.
Sema nilienda tu likizo..

Sasahivi nitakuwepo hapa full time,,kikubwa boss ledii Mungu akutie nguvu ya kutuwezesha bando .

Vitu kama bando ni vitu vidogo sana kwako😍🥰❤️❤️❤️❤️❤️🤗🤗🤗
 
Sasa ningekupata wapi wakati ulizimia ukabebwa na ma Hela baada ya timu ya kiumeni ya Pep kuwatandika mwanitesa Kwa kichapo kizito Cha bao 4 mkapoteana ndio mnarudi leo

View attachment 2144331
wew na wachambuzi wako UCHWARA kule jukwaani kwenu leo kimya ...sisi tupo kwenye rebuild Ni special Case right now
 
Kawaida yangu.
Sema nilienda tu likizo..

Sasahivi nitakuwepo hapa full time,,kikubwa boss ledii Mungu akutie nguvu ya kutuwezesha bando .

Vitu kama bando ni vitu vidogo sana kwako😍🥰❤️❤️❤️❤️❤️🤗🤗🤗
Hahahaaa.. unanijaza tu mtakatifu!! Usiwaze nivile tu sina namba zenu mbona ningekua nawasaprize ya lunch!!!!🤣😂😜
 
IMG_20220220_084922_914.jpg

Naona traffic Police wamenisimamisha hapa, wanasema tairi za tela langu zimeisha 😀😂

Karma , Heaven Sent , financial services , Saint Anne , Bujibuji Simba Nyanaume fanyeni mpango mnunue Pickups za kubebea mazao yenu shambani lakini sio Ng'ombe.

Kwetu kule Ng'ombe ni kwaajili ya kula nyama, maziwa na kuolea tu sio kubebea mizigo 🙌🏃🏃🏃🏃🏃
 
Hahahaaa.. unanijaza tu mtakatifu!! Usiwaze nivile tu sina namba zenu mbona ningekua nawasaprize ya lunch!!!!🤣😂😜
Nimesema Mimi huyu dada siyo tu kwamba ni boss lady,Bali ni mtu na nusu na kipande pia🔥❤️

Nani mwingine anafikiriaga kuwawezesha watu lunch??
Huyu ni special woman duniani hapa.


Yaani hizi vocha tu unaweka zinatubariki mno,
Mimi hata nisipopata nafurahi sana tu Kwa waliopata Kwa sababu naijua furaha ya kupata hizi vocha.
Mtu anaweza akaona kama ni kitu kidogo lakini kiuhalisia huwa inaketa kavibe Fulani kazuri kubahatika vocha ya humu.
 
Back
Top Bottom