Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,202
Hivi Mimi ni usalama wa taifa wa kijiji Gani?Aje aambie watu yeye ni usalama wa taifa kutoka Rwanda, daah 🤣🤣
Hivi Mimi ni usalama wa taifa wa kijiji Gani?Aje aambie watu yeye ni usalama wa taifa kutoka Rwanda, daah 🤣🤣
Yaani umekajibu hapa,Hadi kaje kuona reply yako ni keshokutwa.
Kanasoma comments zote za juu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huwa unapewa buree? Hebu tueleze hapa kwan. UwiioohHivi kuna watu bado mnanunuaga Vocha!? [emoji15]
Ma Mods wana wivu tu na muhuni!Ban huwa zinakuandama sana aisee. Sijui hata huwa unakosa nini yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Eeeeejho😂😂😂😂😂😂😂😂Shemeji nimepata
Dawa yake karibu inaiva mkuuHuyo bwege anajifanya kanywa maji ya bendera
[emoji1787][emoji1787]Aje aambie watu yeye ni usalama wa taifa kutoka Rwanda, daah [emoji1787][emoji1787]
Kwani naongopa ndugu zangu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aibu nimeona mimi
Sababu ni wale jamaa jamii ya Jumbe BrownBan huwa zinakuandama sana aisee. Sijui hata huwa unakosa nini yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
😉Kwani naongopa ndugu zangu?
Ukiona hivyo basi kutakuwa na mod ana bifu na wewe la kimya kimya. Hali hiyo ilishanitokea kipindi fulani. Kila nikiweka ka comment hata kama ni innocent kabisa kanafutwa...Ma Mods wana wivu tu na muhuni!
Mambo yale ya qoonyah anye bata akinya kuku kahara! We ukimuita mtu bwege huli ban ila mie nikimwita mtu bwege natiwa kolokoloni as if bwege ni tusi la nguoni!
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 pole msukuma atakuja tu! Ngoja tumsubirie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo hapana kwa kweli, siku ipite tyuuhYan kwamba wewe vocha unaibaga wapi?
Hata kama ni wa post paid, bado ni vocha tu ile..
🤣🤣🤣🤣Dauh, yaani waje kabisa wakiwaa wamevaa yale mashati yao?
Sasa badala ya harusi si bora tu tuiite warsha ya wakulima wa mboga mboga kutoka Mbeya
Kipindi unaniambia aliumbwa asubuhi nilidhani unaongopa shemShemeji nimepata
Nahisi hivyo maana ushakuwa upuuzUkiona hivyo basi kutakuwa na mod ana bifu na wewe la kimya kimya. Hali hiyo ilishanitokea kipindi fulani. Kila nikiweka ka comment hata kama ni innocent kabisa kanafutwa...
Wacha wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera nimemnunulia viatu leo.View attachment 2143600
Wacha nikae kimya. Nisije amka Asubuhi na Maaskari Mlangoni kwangu. 😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huwa unapewa buree? Hebu tueleze hapa kwan. Uwiiooh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna mtu anamzidi HM wa road trip
Nyie mnatania nini!
Hamumjui kaka vizuri eeh
Breakfast tunakula Dodoma,Lunch Tanga,dinner Mwanza,kulala Mbeya