Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Koh Koh kohI know you know how much i need this moment to come.
Kizungu kipo sawa kweli?
Wanajamvi mtanirekebisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Koh Koh kohI know you know how much i need this moment to come.
Kizungu kipo sawa kweli?
Wanajamvi mtanirekebisha.
Kawe Alumni,Magonjwa Mtambuka na Jumbe Brown wote wapo kamati ya chakulaNamuongeza Kawe Alumni....nisimuone





Unaijua vakesheni wewe?Nishindwe kupumua na kaka yupo???
Kupendwa na Shem rahaaaaaNamuelewa sana shem dada wangu, you can’t put a price tag on my love for her
Kuna CrimeaKawe Alumni,Magonjwa Mtambuka na Jumbe Brown wote wapo kamati ya chakula![]()
Huyo tena ndio tutatinga wote sare za shujaa wetu.Kuna Crimea
Huyu nae asitie maguu
Shemeji yako kwa nani?
Subiri tutawakomesha mimi na kakaUnaijua vakesheni wewe?
Mnadhani nani anatishika?🤣
Embu tuache sie wakulimaKweli bangi ni mbaya
Yan kwamba wewe vocha unaibaga wapi?Hivi kuna watu bado mnanunuaga Vocha!? 😳
Sawa Mkuu.Yan kwamba wewe vocha unaibaga wapi?
Hata kama ni wa post paid, bado ni vocha tu ile..
Road trip ya kutoka mwembechai hadi tip top? 🤣🤣Subiri tutawakomesha mimi na kaka
Na yale maroad trip,mtasema hallelujah
Hiki kikristo kimekaa kama cha RasI know you know how much i need this moment to come.
Kizungu kipo sawa kweli?
Wanajamvi mtanirekebisha.
Confirmed mkuu, sina wasiwasi wanajamvi watakunywa divai ya kuwatoshaMi naomba kamati ya vinywaji au msosi visinipite...kwa gharama yo yote ile!
Hayo ndo mambo sasa Boss Lady. Sema tu mi siwezi kununua vocha ila nami ningezimwaga tu hapa kama alivyofanya Wigelekelo na kamanda Mjep atakaporudiPamoja sana msukuma..! Mie leo niko ful package yani....nami vocha zangu ntazitupia mida .



Fumba tu shem maana akinipea hiyo kiss nami ntamrudishia....mara dufu, I promise!
Watoto wa daslama ndani ndani wanasema atajua hajui
Mbona makada wa chama chetu pendwa cha kuzalisha juisi ya matikiti tunabaguliwa kwenye huu mnuso? Kulikoni?Kuna Crimea
Huyu nae asitie maguu


