Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Sasa mkija na vile vijani vibichi itakua harusi tena?Huyo tena ndio tutatinga wote sare za shujaa wetu.
Tutaonekana kama watu tupo kwenye mradi wa kuetengeneza shamba darasa
Sasa mkija na vile vijani vibichi itakua harusi tena?Huyo tena ndio tutatinga wote sare za shujaa wetu.
Ngoja aje😂Road trip ya kutoka mwembechai hadi tip top? 🤣🤣
Save that joke, please
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mkija na vile vijani vibichi itakua harusi tena?
Tutaonekana kama watu tupo kwenye mradi wa kuetengeneza shamba darasa
🤣🤣🤣Mbona makada wa chama chetu pendwa cha kuzalisha juisi ya matikiti tunabaguliwa kwenye huu mnuso? Kulikoni?
View attachment 2143589
Tukianza ya kwetu; mtaomba poooSubiri tutawakomesha mimi na kaka
Na yale maroad trip,mtasema hallelujah
Mtatukasirisha mimi na shemeji yangu tutimkie nchi za wenzetu hukoNgoja aje😂
Kwa hasira atapiga trip nchi nzima tunazunguka tu
Mbavu zanguuuuRoad trip ya kutoka mwembechai hadi tip top?
Save that joke, please



Asiseme hatukumpa warning
Ndiyo ndiyoMtatukasirisha mimi na shemeji yangu tutimkie nchi za wenzetu huko
Hivi kuna mtu anamzidi HM wa road trip
🤣🤣🤣🤣🤣
Kichwa changu kilivyo kizito,hata sijaelewa hiyo katuni🤣🤣🤣
Masoud pepo ataisikia tu, hata kwa mbali haioni
Utaona sasaHivi kuna mtu anamzidi HM wa road trip
Nyie mnatania nini!
Hamumjui kaka vizuri eeh
Breakfast tunakula Dodoma,Lunch Tanga,dinner Mwanza,kulala Mbeya
MnoooooDuh tutafika mbinguni tumechoka sana
😄😄😄Sad!
Kama jana, I told the waitress I wanted to substitute onion rings for French fries [I said French fries].
She still brought out the onion rings.
Maybe that was partially my fault. I should have said ‘chips’ instead of French fries 🤣.
Nevertheless, lesson learned. No more ordering burgers.
Mdau wa Costco wewe eh? 😀Organic products. You significantly pay more and supposedly you get a product that has been raised/produced naturally without pesticides, antibiotics and other harmful chemicals...
May be it is just another clever commercial ploy. Who knows!
View attachment 2143566View attachment 2143568