Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Mweeh nikahisi nimeanza kupoteza memory nikajisemea mbona leo sio Valentine's day; kumbe sijapoteza bana.Dogoonakumis sanaaa!!!!mnooooo!!!uko busy nawadaiz!!
Eehh!!!alidhani sitapendwa tena!!!!sasa napendwa mpk naogopa atii!!afu nanenepaa mnooo!!!!
Enjoy binamu yangu mwaya; ni baraka sana kupenda unapopendwa; namaanisha. Sio Kila mtu amepata nafasi ya kuexperience "mapenzi" ya kweli in lifetime. And the wisest part of you ni kwamba uliamua kumuachilia aliyetaka kuondoka; ukaamua kusamehe na kuendelea mbele; hukubeba uchungu, hasira wala kinyongo. Ungeendelea kumshikilia leo hii ukabeba mauchungu na mahasira yake; hata Mungu akuletea Malaika ungempoteza tu kwa sababu usingeweza kuuona weka/uzuri wake upo busy unawashikilia watu waliokwisha ondoka kwenye maisha yako.
Mshukuru Mungu sana kwa neema ya msamaha; coz for a fact hakuna watu wagumu kudeal nao kwenye mahusiano kama Divorcees; majority wanaishi na bitterness na wapo so frustrated; kwa sababu mioyo yao imejawa na majeraha bado; but see you have come to accept everything finally and move in peace. Aisee uendelee kuvunjaga na hilo agano la ndoa yako iliyopita lisije likanena/kwenda kinyume na ndoa yako mpya. Love is a very beautiful thing; enjoy bina




