Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Popoma charismatic fella mzee wa multiple idsNa POPOMA asisahaulike please![]()


Popoma charismatic fella mzee wa multiple idsNa POPOMA asisahaulike please![]()


Kwamba sina changu? Haya ngoja nilale zangu mie.Soon msukuma... mwite na reymage Satoh Hirosh wakuje saivi!
Mtakatifu@Saint Anne Huyu mwenye skin tight mwambie Mimi nipo tayari kuwa kaka wa hiari.
Tayari au bado?Tutaanza nahizo kwanza za bukubuku wamekosa!!View attachment 2143667




Wee nimekutag kuuliza kama uko tayari hujaona??? Are you ready Jiachie kitu cha halotel hapa leo kila kitu hapahapa!!Kwamba sina changu? Haya ngoja nilale zangu mie.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
gushape. UmebarikiwaMama wawili!View attachment 2143699
Wewe huna usalama wowoteHivi Mimi ni usalama wa taifa wa kijiji Gani?
Unajua hilo neno nimelidakia tu juujuu nikasema ngoja na Mimi niliandikepo maana limenichekesha





haya bhana sawaah. Hahaaa usinikumbushe Extrovert anavyoulizwaga kwanini kila siku anapigwa ban yeye tu anajibu eti siku nyingine huwa anajitahidi kukaa kimya ila anakutana na mtu anasema January Makamba ni Jembe hapo lazima tu ban itamhusu nilicheka sana asee daahKuna wale jamaa 24hrs wanaanzisha nyuzi za kuisifu serikali.
Wanamtafutia ban Extrovert kila siku.
Ila Kwa sasa Jumbe ameshika chati aiseee.




A game-changer and entertainer 🤣🤣Popoma charismatic fella mzee wa multiple ids![]()
Yaani kule siasani unaweza tamani umeze mtu😂😂😂🙌🙌🙌🙌Hahaaa usinikumbushe Extrovert anavyoulizwaga kwanini kila siku anapigwa ban yeye tu anajibu eti siku nyingine huwa anajitahidi kukaa kimya ila anakutana na mtu anasema January Makamba ni Jembe hapo lazima tu ban itamhusu nilicheka sana asee daah![]()
Ndo nlitaka nishangawle yaan we wa kunisahau mie, mbna ningelog out mazima hapacocastic na wa halotel are you ready!!!!???!![]()





Subiri awakute🤣🤣🤣🤣A game-changer and entertainer 🤣🤣
Sijui yule jamaa anavutiaga plant jikoni
gushape. Umebarikiwa
Tangu mwamba wetu uangukeWewe huna usalama wowote
Tangu posho ishuke kutoka buku 7 hadi 4 umepunguza kulima mboga mboga
Wewe na Joni Mbatizaji hamuupigi mwingi
Ndo nlitaka nishangawle yaan we wa kunisahau mie, mbna ningelog out mazima hapa
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mambo mengi mdogo angu






au ndo uzee? Hakuna nachekaga nkiona mada ya usaliti afu utoe neno, huwa nawaza unatamanigi kuwenna voice note usikike woiiiiioohYaani umekajibu hapa,Hadi kaje kuona reply yako ni keshokutwa.
Kanasoma comments zote za juu.





una nn wee kwan leo? Au umekula nn?