Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee.

Naona kuna dalili za mtoto wa mwanamke fulani kuwekwa kwenye bango mwaka huu.

Afu mbona unaniamsha nianze kuandika magazeti leo jamani? Kupatwa kwa mndali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mweeh nikahisi nimeanza kupoteza memory nikajisemea mbona leo sio Valentine's day; kumbe sijapoteza bana.

Enjoy binamu yangu mwaya; ni baraka sana kupenda unapopendwa; namaanisha. Sio Kila mtu amepata nafasi ya kuexperience "mapenzi" ya kweli in lifetime. And the wisest part of you ni kwamba uliamua kumuachilia aliyetaka kuondoka; ukaamua kusamehe na kuendelea mbele; hukubeba uchungu, hasira wala kinyongo. Ungeendelea kumshikilia leo hii ukabeba mauchungu na mahasira yake; hata Mungu akuletea Malaika ungempoteza tu kwa sababu usingeweza kuuona weka/uzuri wake upo busy unawashikilia watu waliokwisha ondoka kwenye maisha yako.

Mshukuru Mungu sana kwa neema ya msamaha; coz for a fact hakuna watu wagumu kudeal nao kwenye mahusiano kama Divorcees; majority wanaishi na bitterness na wapo so frustrated; kwa sababu mioyo yao imejawa na majeraha bado; but see you have come to accept everything finally and move in peace. Aisee uendelee kuvunjaga na hilo agano la ndoa yako iliyopita lisije likanena/kwenda kinyume na ndoa yako mpya. Love is a very beautiful thing; enjoy bina
Gazeti fupi kwann? Sijakuzoea hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2143507
Very happy Women's day Kwa huyu aliyenitengenezea mboga hii ya Mlenda na Kisamvu[emoji39][emoji39][emoji39]

Ndiyo maana nimeanza kupata mwili kama wa JB na Peter Msechu [emoji85][emoji3]

Happy Women's day to beautiful mother's out there.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] home nmekumbka.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali sana
Nimekuita unitetee kesi yangu kwa binamu yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ya kupita bila kumsalimia.
Sijakuita ulete igwe zako aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usitoke nje ya mada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Dah!

Kuna jamaa alianzisha uzi akiwaomba Mods wampige ban ya maisha huyu mwamba na akatoa ultimatum kuwa kama hawatafanya hivyo basi yeye ataondoka JF jumla. Comments za wadau sasa zilinivunja mbavu. Haukukaa sana uzi mods wakaufuta [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaaa vipi walimsupport mtoa mada au walimcriticise [emoji23][emoji23]
 
Happy women's day kwa yule mama aisee
Alichoropoa kitu perfect yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, ntaangusha cm wallah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom