Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ma Mods wana wivu tu na muhuni!

Mambo yale ya qoonyah anye bata akinya kuku kahara! We ukimuita mtu bwege huli ban ila mie nikimwita mtu bwege natiwa kolokoloni as if bwege ni tusi la nguoni!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590] km kigori aliyepo unyagoni, binti km binti

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Halotel kazi kwenu!!
IMG_20220308_184944_282.jpg
 
Hahaaa usinikumbushe Extrovert anavyoulizwaga kwanini kila siku anapigwa ban yeye tu anajibu eti siku nyingine huwa anajitahidi kukaa kimya ila anakutana na mtu anasema January Makamba ni Jembe hapo lazima tu ban itamhusu nilicheka sana asee daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kwani Marope siyo jembe jamani? Siyo kwamba lile shirika wanamwangusha? [emoji16]
 
Happy women's.. Kasie
Kuna zawadi yako murua jirani yangu...

Happy women's... Karma dada wangu wa ukweliii

Happy women's.... Heaven Sent dada wa ukwelii

Happy women's.... Lizzy mtu mwenye roho isiyo na hila.. roho nyeupe kama sufu..

... nyingi sana ka superwoman special yaani.. happy women's.. Saint Anne 🤗🤗🤗🥳🥳🥳

..... mnazawadi zenu special yani.. 🎉🎉🎉
Asante ntatoa vizuri nikishapokea zawadi 😁😁
 
Back
Top Bottom