Sio sawa. Namba 1 ni namba 1 sababu Kuna namba 2. Ukishinda usimsahau aliyekukimbiza.
Nasisi wasafisha njia tunastahili pongezi zetu nyingi tu Mtakatifu.
Sio sawa. Namba 1 ni namba 1 sababu Kuna namba 2. Ukishinda usimsahau aliyekukimbiza.
Nasisi wasafisha njia tunastahili pongezi zetu nyingi tu Mtakatifu.
Kuna jamaa alianzisha uzi akiwaomba Mods wampige ban ya maisha huyu mwamba na akatoa ultimatum kuwa kama hawatafanya hivyo basi yeye ataondoka JF jumla. Comments za wadau sasa zilinivunja mbavu. Haukukaa sana uzi mods wakaufuta