Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😁😁😁 nachapa mwendo sijui kesho naelekea Arusha sijui wapi naswampa kama mbwa karamba miguu
Hata kama unachapa mwendo ndugu yangu kipara mdogo ndo umsahau mdogo wako kwenye women's day wishes?

Ataambia nini wanajamvi sasa?

Anyway, naambiwa hapa hii siku ilikua ifanyike tangu last sunday,

Wanawake wakachelewa kwenye make-up na vitu kama hivyo

Ndo wameonekana leo
 
Happy women's.. Kasie
Kuna zawadi yako murua jirani yangu...

Happy women's... Karma dada wangu wa ukweliii

Happy women's.... Heaven Sent dada wa ukwelii

Happy women's.... Lizzy mtu mwenye roho isiyo na hila.. roho nyeupe kama sufu..

..... mnazawadi zenu special yani.. [emoji322][emoji322][emoji322]
Duh [emoji2297]

Haya ngoja aje[emoji1787][emoji1787]
 
Hata kama unachapa mwendo ndugu yangu kipara mdogo ndo umsahau mdogo wako kwenye women's day wishes?

Ataambia nini wanajamvi sasa?

Anyway, naambiwa hapa hii siku ilikua ifanyike tangu last sunday,

Wanawake wakachelewa kwenye make-up na vitu kama hivyo

Ndo wameonekana leo
😁😁😁 huyo anakitu chake special ana wishes zake special kabisa..
 
Tutaanza nahizo kwanza za bukubuku wamekosa!!
IMG_20220308_184452_720.jpg
 
Back
Top Bottom