Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Kuna muda mtu unapendwa Hadi unajiuliza hivi kwanini muda wote ulipoteza na manguruwepori huko wakati Kuna watu wanajua kupenda jamani.
Aisee huyo nguruwe pori wako habari imfikie.
Nakumiss sana na ninakuwaza dada..
Nisamehe,nilipita for some hours j2..nikawaza nikutafute lakini nikakosa confidence .View attachment 2143391View attachment 2143393
Hayo "manguruwepori" hayo yalishamaliza kazi yaliyotumwa kuifanya - kukuandaa na kukuweka tayari. Usingekuwa hivyo ulivyo leo bila ya hayo manguruwe pori. Ungewezaje kuujua upendo wa kweli bila kupitia kwa hayo manguruwe pori? Almasi yawezaje kuwa yenye thamani, imara na yenye kung'ara sana bila kupita katika moto mkali na mgandamizo wa kutisha?















