Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna muda mtu unapendwa Hadi unajiuliza hivi kwanini muda wote ulipoteza na manguruwepori huko wakati Kuna watu wanajua kupenda jamani.
Aisee huyo nguruwe pori wako habari imfikie.

Nakumiss sana na ninakuwaza dada..
Nisamehe,nilipita for some hours j2..nikawaza nikutafute lakini nikakosa confidence .View attachment 2143391View attachment 2143393
Kupendwa raha watamani kurudisha siku nyuma ila unabaki kusema ahsante Mungu maana kila jaribu lina funzo ndani yake na hakuna mtu mbaya wa moja kwa moja

Una tabia mbayaa mweehh!yaani wewe jamani nakununia Mimi!yaani konfidensi iyo kwiooo!!au unaogopa nakula watu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama kupendwa napendwa kimebaki nini hapa duniani?!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeyapatia haswaaa!!!natamani dunia ijue yooote na haswaaa ex wangu yule ngurue poriii!!!![emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaj

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenifurahisha hapo kwenye nguruwe pori[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nawee unae nguruwe pori wako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Bora umekosa weye uso na shukrani[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sasa ilibidi ndo itimie buku nitoe shukrani sasa khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787]
Screenshot_20220308-154116_Gallery.jpg
Screenshot_20220308-154243_Gallery.jpg
 
Kupendwa raha watamani kurudisha siku nyuma ila unabaki kusema ahsante Mungu maana kila jaribu lina funzo ndani yake na hakuna mtu mbaya wa moja kwa moja

Una tabia mbayaa mweehh!yaani wewe jamani nakununia Mimi!yaani konfidensi iyo kwiooo!!au unaogopa nakula watu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]!!!!
Kuna muda mtu unapendwa hadi unatamani utangaze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nguruwepori popote mlipo Aloo Huku mambo ni moto nyie[emoji3059][emoji3059][emoji7]

.....
Yaani sijui hata najiteteaje[emoji13][emoji85]
Ngoja Heaven Sent atakuja kunisaidia
 
Back
Top Bottom