Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

reymage kuna hiyo moja mfano kwa muda wa miaka 10 ww umejicommit kuchangia 50 millions, ikatokea lifetime yako duniani ikawa 2yrs tokea umeannza kuchangia ukadanja.. basi mrithi wako atapewa zake 50 millions regardless weee mnufaika Ulikuwa hujazitimiza.

Fursa iliyoje kwa wale wanaoweza kujitoa muhanga, baba unajitoa muhanga unaacha mama atajirike 😄😄

Hii kima cha chini cha uchangiani ni 2m kwa robo kwaka

Kuna nyingine ina cover na bima ya mazishi kwa mnufaika, bima ya maisha ‘ mnufaika akipata ulemavu wa kudumu

Kuna ya mashirika/kampuni za kuanzia 100m huko

But for me ukwasi fund is the best
 
Haha kweli Kilimanjaro Lager zimepotea kiaina siku hizi japo huku mtaani kwetu bado zinauzwa. Nadhani ni kwa sababu ya hii mpya Kilimanjaro Light iliyoingia juzi kati ni kama wanaitafutia soko hivyo wanaipoteza hiyo Lager makusudi ili Light iuze kwa wingi.

Ila Kili haijaifikia Balimi kwa kupotea asee. Sasa hivi Dar sehemu nyingi kama si zote Balimi hakuna na ukiulizia watu wanakushangaa wanasema hizo bia za wakulima siku hizi huku mjini hazipo utazipata mikoani na maeneo kama Dom nilizikuta kwa wingi.View attachment 2142310


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Something more than gold, I've got something more than silver
Something more than life
I've got something more than riches
You sit in the heavens
And control the earth
You never let me down
What can I do or say?
Your blessing e too much oo
Your love for me e too strong oo
I thank you my Lord
You no be man oo
 
Back
Top Bottom