Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Awwh this is so sweet of you..Waukweee!!! una macho mazuri yakurembua![]()
Thank you for the compliment .
Awwh this is so sweet of you..Waukweee!!! una macho mazuri yakurembua![]()
Toto mtamu sana weye... ukimuangalia mtu anakata netwek!!! You have very beautiful eyes!!!!!Ile jicho ndo nimeiweka
Nina nyingine basi dear![]()
Ahsante kwa kuniita mkuucocastic reymage Mjep mtu chake Shimba Ya Buyenze Wigelekelo Brian Spilner mnapitwa hukuuuu♥️♥️♥️🤩😘😘
Rudia hiyo ya dk 2 best mbona umefuta chapIle jicho ndo nimeiweka
Nina nyingine basi dear![]()
Ooh thanksToto mtamu sana weye... ukimuangalia mtu anakata netwek!!! You have very beautiful eyes!!!!!

😂😂😂😂Ila akili zako![]()
Habari rafiki
Ahsante boss wanguImekaa 15 minutes
Haya ione View attachment 2142342
mmh we ni mrembo rafiki, network inakata kweli ujueOoh thanks
Eeh hapo kwenye kukata network sasa
I'm a spitting image of my father , huwa najiona wa kawaida mno .
Ooh vyemaAhsante boss wangu
Mtoto jichoooo![]()
Hahaha rafiki umeongeza chumvi weye ..mmh we ni mrembo rafiki, network inakata kweli ujue
nzuri sana rafiki.ahsante kwa picha..nimeona ulivyo mremboHabari rafiki
Ooh Asante sana, sometimes camera inakukubali tu .nzuri sana rafiki.ahsante kwa picha..nimeona ulivyo mrembo
Karambezi Sea Cliff Hotel
✅Karambezi Sea Cliff Hotel
Shoga nielewe wapiHahahaa .... ..... una makusudi Tinsley! kwamba hujaelewa!!!!!!!!![]()
1. Nimekariri tu mfuko wa Ukwasi/ ukwasi fund.. mingine mpk nisome kipeperushi na kinaishigi tu huko ofsn, so ni mpk kesho.Nielekeze kusave UTT my friend