Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Kuna umoja fund/ flexibility
Kufungua account ni 10k, kwa mwezi wekeza yake ni isiwe chini ya efu 8 na vipoints flani nimesahau…muda wowote we tupia mshiko ila hapa ukihitaji pesa zako ni utazipata siku 10 za kazi kutokea pale umeandika barua ya kuzihitaji…. Rate yake ya faida ni ile ile kwa mwezi 1% ya salio lako
reymage